koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,789 Reaction score 10,388 Aug 17, 2020 #41 Mwanangu Ncha Kali mimi nipo nazitafuta kwa ajili ya hivi viumbe sitoviacha salama kuoa mama yangu atanisamehe kwa kweli Kwanza muhimu wajukuu tu mkwe wake atamsumbua wakwe wa siku hizi miyeyusho tu
Mwanangu Ncha Kali mimi nipo nazitafuta kwa ajili ya hivi viumbe sitoviacha salama kuoa mama yangu atanisamehe kwa kweli Kwanza muhimu wajukuu tu mkwe wake atamsumbua wakwe wa siku hizi miyeyusho tu