Tuwaoneeni huruma wasanii wengine

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,075
Ukienda kule, ukirudi huku ni Domo kamchokoza King kiba matokeo yake kaangukia pua. Ukilala ukiamka story ni Mondi na Kiba. Ukisikiliza redioni ni Seduce me tu,naambiwa Zilipendwa wanapiga uswahilini eti seduce me ya mbele.

Ukiingia jamii forum,jukwaa la cerebrities ni Post za team kiba akimpa vijembe team Mondi. Ukiingia Twitter ni hashtag kipusa na seduce me,eti na wengine wanawasema wasafi toka lini wanavaa mawigi.

Instagram sasa naambiwa huko ndo balaa,wanaume wanakata mauno kisha wanamtumia Mange videos awapost na ki sms hide my ID please.

Jamani hivi mnajua kuna nyimbo mpya zinatoka na wasanii wengine wanaogopa kutoa nyimbo eti wanasubiri kiba na mondi watoke vinywani mwa watu kwanza. Tusiwaue moyo wengine sabb ya hawa watu wawili. Media za burudani ni kama nazo haziwapi ushirikiano mzuri hawa wasanii wengine.

Juxi,Beka,Aslay,Mauasama,Fid Q wametoa vtu vikali lkn hata hawasikiki, hawasemi lkn kiukweli inavunja moyo. Ushindani sio uadui,tuwape kipaumbele na wengine,ili wapatikane akina Kiba wengine na akina Mondi wengine.

Japo wanapambana na hali zao,tusisahau kuwapa sapoti.

Jioni Njema.

Philips X2560
 
Jamaa una akil sana hii inatuua cc team Good Music


Yan wanapewa kk watu ambao hawatumii nguvu kabisa

Wanaotumia nguvu wananyimwa

Its pain much ukijarib kuvaa uhuska wa jux fid na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu
Yaan nilikuwa nimejaribu kuwaza tu wanajisikiaje wengine,kiukwel itakuwa inawauma,kiba na mondi hata hawatumii nguvu,wanaotumia nguvu hata hawasikilizwi,inawakatisha tamaa.

Philips X2560
 
Labda hao wawili wafe

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Shukran mkuu
Yaan nilikuwa nimejaribu kuwaza tu wanajisikiaje wengine,kiukwel itakuwa inawauma,kiba na mondi hata hawatumii nguvu,wanaotumia nguvu hata hawasikilizwi,inawakatisha tamaa.

Philips X2560
Fid Roma joh makini hata mwezi hawajafikisha tayari nyimbo zao kapuni.,....hali ni mbaya kwa kweli

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…