PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda hao wawili wafe
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Roma mjinga sana anaenda kuhojiwa anachagua maswali ya kuhojiwa na kujibu naona na watangazaji wame amua nao wao wachagua siku gani wapige nyimbo ykeWimbo wa Roma 'Zimbabwe' umevunja rekodi ya kuhit wiki moja tu na kutupwa kapuni, yaani views 1M zilikuja kwa kasi then baada ya hapo ukatelekezwa, hadi sasa una views 1.1 tu, hiki ni kituko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wimbo wa Roma 'Zimbabwe' umevunja rekodi ya kuhit wiki moja tu na kutupwa kapuni, yaani views 1M zilikuja kwa kasi then baada ya hapo ukatelekezwa, hadi sasa una views 1.1 tu, hiki ni kituko
Sent using Jamii Forums mobile app
Bint mrembo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Roma na Stamina nao wamezimwa lakini tuongee ukweli zilipendwa hakuna nyimbo pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani,.. Kama hakuwa tayari kuweka wazi anaogopa kutekwa tena hilo liwimbo alitoa lanini?Roma mjinga sana anaenda kuhojiwa anachagua maswali ya kuhojiwa na kujibu naona na watangazaji wame amua nao wao wachagua siku gani wapige nyimbo yke
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu kitu kiingine aliwazuia wale wenzake kuongelea ilo tukio ni kama ana tumia lile tukio kuji nufaisha mwenyweYaani,.. Kama hakuwa tayari kuweka wazi anaogopa kutekwa tena hilo liwimbo alitoa lanini?
Sent using Jamii Forums mobile app