Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema.
Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples' Defence Force), yaani TPDF, kwa kusisitiza, kwa uaminifu wao wa kutunza viapo. Binadamu hawa wanaongoza kwa uzalendo katika nchi yetu. Wametimiza viapo vyao katika matukio mbalimbali, kwa nyakati tofauti, na kwa vitendo tumeona. Jeshi letu limekuwa na nidhamu ya hali ya juu na wakati wote limekuwa tayari kuwalinda wananchi wa Tanzania pasipo hiyana wala tashwishwi. Mara nyingine hata tunaonajeshi letu lenye nidhamu linajitolea kufanay kazi za jeshi la polisi pale inapohitajikana limefanya kwa ufanisi mkubwa.
Lakini pamoja na pongezi hizo, mimi kama mmoja wa wapongezaji, nina ombi kwa jeshi letu hili lililosheheni wasomi, uadilifu na umakini wa hali ya juu, pasipokuwa na tuhuma za makandokando.
Sasa hivi ninaona kwamba baadhi ya viongozi wetu wenye dhamana ya kutuongoza, bado wako katika mshituko wa kuondokewa ghafla na Rais wetu ambaye sote tulimpenda na kusifia kwa kuwapenda na kuwahurumia Watanzania. Mshtuko, huo inaonekana umeathiri utulivu wao na hivyo, kupelekea kuchukua maamuzi yanayoashiria kuwa kuna kitu hakiko sawa.
1) Mfano suala la kukata fedha kwenye miamala ya kutuma fedha na kupokea kwa njia ya simu (kodi ya uzalendo) ambalo linaathiri kwa kiasi kikubwa wananchi wa chini wasiokuwa na accounts kwenye benki. Wananchi wakiuliza, majibu yanayotolewa yanaeleweka na kundi dogo la watunga sheria hawa.
Ni kana kwamba pengine kwa kuwa wao hawalipi kodi na wanapata fedha nyingi kuliko kawaida, hawajui familia za Watanzania wasiokuwa na wabunge kwenye koo zao, wanamaisha gani. Na pengine kwa kuwa wao wanahakika ya kuendelea kuwa wabunge milele na ama koo zao zinaendelea kuwa wafalme milele, basi hawana sababu hata ya kuangalia mapungufu yalilyo kwenye sheria kuu ya nchi ili kuleta uwiano wa mabadilikko ya kijamii, kiuchumi, sheria na technolojia ndani na nje, na maisha ya Tanzania.
Watu kama hawa hawawezi kupitisha kifungu kinachozungumzia kwa mfano:-
1) Ukomo wa mtu kuwa mbunge.
2) Uwajibishwaji wa wabunge na wapiga kura wao.
3) Tume huru ya uchaguzi.
4) Mgombea binafsi.
5) Kuondolewa kinga .
6) Kubadili sifa za watu kuingia kwenye chombo hicho cha kutunga sheria badala ya kujua kusoma na kuandika tu (kama hata hiki kinafuatwa)
Kama hii haitoshi, hata wale waliodhaniwa ni watu wasomi, wameonesha kwamba ni watu wasiojali asilani maisha na uhai wa Mtanzania.
Tabia hizi zimeakisi kwa uwazi ukosefu wa:-
1) Nia ya dhati ya kuimarisha mfumo wa elimu ili lMtanzania ajitambue na kujenga uwezo wa kusimamia mstakabali wa familia yake, jamii na taifa zima katika ngazi za ndani na za kimataifa.
Badalal yake wanakaa mezani, bila utafiti yake kini, kwa misingi ya kisasa na uelewa wao katika suala la elimu, na ambao kabisa hawajasoma ama ni failures wanabwagiza pamoja kwamba kushuka kwa elimu ni lugha yakiingereza, kana kwamba hicho kiingereza wakati elimu iko juu,hakikuwa kikitumia.
Ama kwamba waliokuwa wanafanya vizuri miaka ya nyuma, wakiwemo wasomi wetu walioko huko juu, hawakutumia kiigereza.
Wanakaa mezani bila research, wanaanza kubadili mitaala iwe ya kiswahili, maamuzi ya kisiasa bila kuangalia dhana yote kwa upana kwamba hawa watu wanaowatengenezea ufaulu eti kwa kufundishwa kwa lugha ya kiswahili, hata hicho kiswahili chenyewe hawakijui.
Kubadili lugha bila kujiridhisha uwepo wa misukumo ya ubunifu wa kisayansi na kitechnoljia ambayo imeanzishwa katika lugha hiyo, ambayo italazimisha hata mataifa mengine wajifunze kiswahili ili wapate hiyo tekinolojia na sayansi mpya,az janga jipya kwa elimu ya nchi. Hii itazalisha watu mbumbumu wasiokubalika kwa viwango vinavyohitajikakatika maeneo mengi.
Ninaona hicho kibwagizo cha lugha si halisi bali ni msukumo wa dhamira
ovu ya kuimarisha matabaka na uhakika wa viongozi hao na familia zao kuwa juu ya medani za kitaifa na kimataifa. Na ndiyo sababu wakati wanabwagiza kishwahili, wao wanapeleka shule za kiingereza. Mikakati huu ni wa kuua kabisa hata elimu mbovu ilivyopo nchini. Ninatamani mtu mmoja adhamirie kufufua elimu ya nchi kwa kufanya utafiti huru ambao utakuwa na watu wa kuuzingatia ili tuondokane na uharibifu unaopakwa mafuta kwa kelele za kisiasa huku dhamira halisi zikiwa zimefichwa.
Mfano. Mheshimiwa hapa, moyoni anajua elimu bora ni ipi ndiyo sababu mtoto ya maneno katika sare ya shule ya mtoto wake. Lakini huku kwetu tunaambiwa "kiswahili".
2. Hii tozo ya miamala ya simu, kwa watu maskini iliyopitishwa na hao watu wanajiita wabunge waliokaa Dodoma, ni hati kamili ya kwamba Watanzania hawana wawakilishi bungeni. Na pengine hii inathibitisha malalamiko yanayosikika kila kna kwamba bunge limetekwa na genge la watu wanaojichagua na kulindwa na dola bila ridhaa ya wananchi. Mtu yeyote anayepitisha makato ya miamala ya money trasfer za simu, huyo si mtanzania kwa maana hata hajui maisha ya Watanzania wanaishije. Hii ni kiitikio kinachoitwa "Pambaneni na hali zetu".
3. Kuna suala la Chanjo ya covid. Tuliaminishwa kwamba kuna tume ya covid iliundwa . Sijui hiyo team ilikuwa na akina nani. Pengine ni wale wabunge wa mujibu wa sheria, lakini pia kama kulikuwa na watu wenye ueledi basi walikuwa ni wale waliojiondoa Utanzania halsi, bali ni Tanzanian Patners in Business (TPB), na kama sivyo, basi pengine hiyo tume ilikuwa na maelekezo maalumu na hivyo haikuwa na sababu ya kutengenezwa.
Kwa hila tumeona tukiaminishwa kwamba chanjo hiyo itakuwa kama ile inayotolewa marekani, kana kwamba Watanzania wote bado ni wapumbavu.
Pamoja na kelele ulimwenguni mwote, na madhara yanayotokea duniani, bado viongozi wetu wameamua kuwapa watu sumu wasiyoelewa hata wao na kwa kukwepa uwajibikaji, wanasema kitu kama "Abiria beba mzigo wako. Sumu hii hapa unywe usinywe hiari yako lakini yatakayokupata baada ya kunywa, sisi hatumo". Angalia hapa.
4. Rais aliyepita ambaye hao hao walimpigia makofi na kumshangilia sana kwamba ni raisi wa wanyonge, mkombozi wa taifa, wengine hata wakajisahau wakamwita mungu (tongue slip), aliona uharibu mkubwa wa kiuchumi uliofanywa na mtangaulizi wake na hivyo kuchukua hatua za kurejewa kwa mikataba na miradi mingine kusitishwa. Watu hawa walilpiga makofi na kushangilia sana. Alieleza kinaga ubaga matatizo ya kutisha ya mikataba kama ya madini na bagamoyo bandari.
Baada ya kutoweka kwa Rais, hao hao walioshangilia sana, wanaanza kurejesha makubaliano hayo wakisema alishauriwa vibaya. Alishauriwa na nani? Siyo hao hao ndio waliomshauri?
Ok. Rais ameweka bayana madhaifu ya mikataba hiyo, kwa nini leo hao hao washauri wake wanairejesha bila kuweka bayana hiyo mikataba na watu waione ili kkuthibitisha kwamba ni kweli Rais Magufuli, aliona vibaya na katika maeneo yapi?
Kwa kasi ya haya tunayoyaona, yenye rangi ya "Kila mtu apambane na hali yake", tunaawezaje kuamini kwamba wanachosema kuhusu mikataba kwamba haina tatizo na kwamba Magufli alishauriwa vibaya, bila hta kutuambia kipi alikosea, na ukweli wake ni upi, na wakaiweka bayana tukaiona?
Bila shaka, hawa watu bado wana mshtuko na hivyo katika kipindi hiki, tunapelekwa katika shimo refu jeusi la giza ambao hatutaweza kujitoa huko sisi wa uzao wetu wote.
Ombi langu kwa JWTZ:
Ninyi ni walinzi wa wananchi, na si walinzi wa serikali. Ninaomba muangalie anmna salama, isiyo na tone la damu wala jasho la mtu
1. Mtuondolee wabunge waliongia bungeni pasipo sifa
2. Simameni na mama mmsaidie katika majukumu yanayomziunguka
3. Mmshauri mama aitishe mkakati wa uandishi wa katiba ya JMT, katiba ambayo haitakuwa na hila
4. Tume huru ya uchaguzi.
5. Mshaurini asitishe utekelezaji wa mii.kataba fisadi inayopigiwa debe kisirisiri.
6. Mshaurini, kabla hajatangua maamuzi waliyokuwa wanayapanga na rais Magiufuli, atengeneza timu ya wataalamu huru wakiwemo wa nje ya nchi kupitia hasa mikataba, na kumpa ushauri ili hata kama ni lazima hao wachina wafanye hiyo miradi, basi makubaliano mapya yasiyohila yafikiwe.
8. Mshaurini mama aache kuingia mikononi mwa wafanyabiashara wa korona kwa kuwapa watu kitu ambacho hata yeye hana imani nacho, na kuwaambia wananchi yayakayowakuta baada ya chanjo, wasihoji serikali.
9. Ninaomba vunjeni bunge, hata kama katiba inasema vinginevyo kwa kuw akatiba hiyo hiyo imekuw aikivunjwa mara nyingi. Endeleeni na mama hadi uchaguzi wa 2025 baada ya uchaguzi ambao mchakato wake, utakuwa kwa mujibu wa katiba mpya na mtamsaidia kusimamia uchaguzi huo.
Vinginevyo, mkiendelea kulinda mipaka ya nchi tu, mtashituka kukuta hao watu mnaowalinda kwa moyo wa dhati, wamekwisha. Nchi ni watu na bila watu hakina nchi. Naomba sana mtusaidie. Tuko katika matatizo makubwa sana kwa sasa.