Tuwapongeze JWTZ kwa uaminifu uliotukuka katika kutunza viapo vyao

Wanajeshi wako vizuri, nawapa salute. Nilitoka machozi (ya furaha)siku moja kwa (Dereva)gari ya jeshi. Nikiwa naendesha baiskeli niliingia mzunguko bila tahadhari. Nakumbuka kuangalia kulia nipo katikati ya barabara naiona gari ya jeshi imesimama mita 3 kupisha nipite. Wangekuwa polisi ningeambulia kugongwa au ningeanguka kwa kelele za honi na matusi kama si makofi. JWTZ wamefunzwa kuwaheshimu raia. Hongereni sana.
 
Sana. WAnaupendo wa dhati sana kwa raia hawa watu. Kumbuka wameapa kutoa uhai wao kwa ajili ya kuwalinda wananchi. Ulinzi huo hauishii mipakani tu, na ndiyo sababu utasikia wamekwenda mtwara, rufiji, mkuranga, Kirwa n.k. Hawa ndio wazalendo pekee waliosalia wenye uwezo wa kumsaidia mama yetu.
 
Wakiingilia Ayo mambo uliyosema ni kama wameasi kwa sababu wao wanafata Amri kutoka kwa mkuu wao(amir jeshi) kama amir jeshi akiwaambia wafanye sawa watafanya kumbuka hata vita inaadhinishwa na Rais
 
Mimi asikari yeyote huwa huwa simgagilii
 
Wakiingilia Ayo mambo uliyosema ni kama wameasi kwa sababu wao wanafata Amri kutoka kwa mkuu wao(amir jeshi) kama amir jeshi akiwaambia wafanye sawa watafanya kumbuka hata vita inaadhinishwa na Raisa
Amiri jeshi mkuu hajaesema hataki walmsaidie,
Babhti nzuri ni kwamba Amiri jeshi mkuu anahitaji watu kama .
Kufanya usafi siku zingine huwa anawapangia?
Hi itakuwa kazi kama zingine walizonazo ambiazo wanafanya kila siku bila tafsiri ya kuasi.
 
Amiri jeshi mkuu hajaesema hataki walmsaidie,
Babhti nzuri ni kwamba Amiri jeshi mkuu anahitaji watu kama .
Kufanya usafi siku zingine huwa anawapangia?
Hi itakuwa kazi kama zingine walizonazo ambiazo wanafanya kila siku bila tafsiri ya kuasi.
Soma ulipoandika maombi yako kwa jwtz
1.mtuondolee wabunge walioingia bungeni pasipo na sifa
.............
9.vunjeni bunge hata kama katiba inasema......

Hayo maneno juu umeandika mwnyw we unahis hzo kazi walishapangiwa na Mama samia sema we unachotaka kusema ni wafanye mapinduzi tu baas sio uanze kuzunguka. Unasema Samia anawatumia sawa anawatumia lakin ni Kwny mambo anayoyataka yy, Samia mwnyw inaonesha hatak ibadilike Sasa wanajwtz wakifanya kitu hatak sio uasi huo???
Mapinduzi unayotaka kamwe hayatatokea nchi yetu ya amani sana
 
Rais wa wanyonge, mliyempenda kwa kuwahurumia ndie aliyeamua kila aliyemo kwenye hilo bunge awemo, na kwa nia ya dhati ya kuwapa ulaji na kuwanyonya mnaojiita wanyonge.
 
Wala sijasema samia anawatumia. Hapo unanilisha maneno. Umejuaje kwamba hataki mabadililko? Amefanya mabadiliko mangapi? Wewe bila shaka una maslahi kwenye hilo genge la dodoma. Hilo si bunge, ni lazima mama samia apate msaada wa jwtz kuondoa hilo mafiagang. Utake usitake, mtaondoka hata kama si kwa mkono wa jwtz. Unajiahimi nini?
Unajuaje kwamba mama hatawatumia, kama si kujihami. Mtandoka wote tupate nchi yetu iliyo salama.
Kuvunja genge la dodoma si kuvunja bunge. Ni kkuondoa dumuzi ndani ya nafaka.

Amani, unaijua amani wewe? Mbweha sana.
 
Mkuu, nimeweka wigo uliodhahiri kwamba nazungumzia "TPDF, kumsaidia mama". Habari ya nani alikwenda china kuuza nchi, nani alikuwa akibeba makahaba kuwapeleka marekani, nani aliasisi nini kifanyike wapi katika kujirudisha kinyumenyume madarakani, nani alisema nani afanya nini, "mimi sijasema".
Rais wa wanyonge, mliyempenda kwa kuwahurumia ndie aliyeamua kila aliyemo kwenye hilo bunge awemo, na kwa nia ya dhati ya kuwapa ulaji na kuwanyonya mnaojiita wanyonge.
 
Hata mimi sijasema hayo.
 
Me co mwnasiasa na cpend hzo mambo na sina chcht nachopata Kwny hzo mambo unazosemea. Ila heading yako na ulichoandika havirelate kabisa NARUDIA unayotaka hutayapata ww mpka kizazi Chako cha tatu otherwise kunywa maji mengi tuliza mchecheto asubuh njema🙏..
 
Mkuu umemuelewa Sana mleta mada.Ninaongezea.
Binafsi nipo tayari kufa kulinda amani na utulivu wa nchi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…