Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeonewaaa na vodaTuliopewa mb 300 tunasemaje juu ya hili...???
Sio kwamba wanaangalia na sura
Wengine tumeambulia 300mb Ila sio habaView attachment 1368351
Wadau hatimaye VODACOM wamekuwa waungwana. Ujumbe hapo juu unaonesha nimepewa 2GB zitumike ndani ya masaa 24, maana yake mpaka kesho usiku. Asante VODA kwa kujali.
View attachment 1368351
Wadau hatimaye VODACOM wamekuwa waungwana. Ujumbe hapo juu unaonesha nimepewa 2GB zitumike ndani ya masaa 24, maana yake mpaka kesho usiku. Asante VODA kwa kujali.
Tigo hao, afu mb zinaisha Bila hata kutuzmia?Tuliopewa mb 300 tunasemaje juu ya hili...???
Umepiga code gani??Nimepewa hizo 2gb,ingependeza kama zingekua ni unlimited.