Tuwapongeze VODACOM kwa kujali 2GB

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129





Wadau hatimaye VODACOM wamekuwa waungwana. Ujumbe hapo juu unaonesha nimepewa 2GB zitumike ndani ya masaa 24, maana yake mpaka kesho usiku. Asante VODA kwa kujali.
 
Mimi mpaka jana asubuhi nilikuwa na MB 2098,na zilikuwa ziishe saa 4 usiku wa jana,lakini eti wamenifidia MB 300 tu,nimejalibu kuongea nao leo wanasema wataniludishia ndani ya masaa 24,lakini hadi muda huu kimya,mleta uzi inawezekana ni mnufaika wa hili limtandao, ndiyo maana anataka kutulisha matango pori.
 
Mimi nimepewa 300 na hizo 2000, lakini kibaya internet haina nguvu yani kama jana inasua sua, na kibaya zaidi nilinunua GB 3 na zinaisha kesho sasa nafanyaje na network yao ndo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Mb Hizo Hutaweza Kufanya Lolote
Ukitumia Mara Moja Zimekwisha
 
View attachment 1368351
Wadau hatimaye VODACOM wamekuwa waungwana. Ujumbe hapo juu unaonesha nimepewa 2GB zitumike ndani ya masaa 24, maana yake mpaka kesho usiku. Asante VODA kwa kujali.

Kwa Kweli wanastahili kupongezwa maana naona kelele za watu zimewafikia. lkn pia nafikiri wametoa hizo Mb kulingana na namna watu wanavyojiunga na vifurushi kwa mfano mm hapa wamenipa 4GB!
 
Hao hata wakikupa , baada ya dakika 10 utasikia umebakiza MB 60 , sekunde 10 baadae , zimeisha
 
Nimepewa hizo 2gb,ingependeza kama zingekua ni unlimited.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…