Huyu ni nani?JJ Rawlings rais kipenzi wa Ghana kazikwa jana akiwa mhanga wa corona.
Huyu ni nani?
Bahati mbaya Magufuli hataki kusaidiwa, hamsikilizi mtu. Afadhal Idd Amin alikuwa anamsikiliza Isaac Maliyamungu ( msaidizi na kipenzi cha Idd Amin aliyekuwa katili kuliko Idd Amin mwenyewe)