Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili ni swali muhimu kwa kila raia.Kwa wale ambao ni wanachama, mashabiki na wapenzi wa CCM ambao sio viongozi katika chama au serikali mnananufaikaje kwa sasa na uwepo wa CCM na mnafikiri mtapoteza nini siku ambayo CCM haitakuwepo madarakani?