Tuwasikilize na tuwaelewe wana CCM wa kawaida.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa wale ambao ni wanachama, mashabiki na wapenzi wa CCM ambao sio viongozi katika chama au serikali mnananufaikaje kwa sasa na uwepo wa CCM na mnafikiri mtapoteza nini siku ambayo CCM haitakuwepo madarakani?
 
Mkuu hili ni swali muhimu kwa kila raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…