Tuwasiliane kwa mahitaji ya bidhaa za michikichi

Tuwasiliane kwa mahitaji ya bidhaa za michikichi

Mugabonihela

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2022
Posts
306
Reaction score
1,784
Habari za muda huu wapendwa,

Napenda kuwakaribisha wote mnaotumia au mnaotarajia kutumia bidhaa zitokanazo na miti ya michikichi kama vile;

MAWESE (PALM FRUITS OIL) - hii ni kwa matumizi ya jikoni yaan mapishi ya vyakula mbalimbali.

MISE (PALM KERNEL OIL) - hii ni kwa matumizi ya viwandani, wanaozalisha sabuni na products nyingine za Cosmetic's. Japo wapo wanaotumia jikoni pia kwa ajili ya mapishi.

MASHUDU (PALM KERNEL CAKE) - PKC hii ni kwa ajili ya kunenepesha mifugo kama ng'ombe, mbuzi, nguruwe nk.

Karibuni sana, kwa yeyote mwenye maswali kuhusu bei na bidhaa mnakaribishwa pm.

NB: Bidhaa itafika popote ulipo kwa muda tutakao kubaliana.
 
Back
Top Bottom