Tuwasindikize wanaoenda kuripoti Polisi kwa Video mpya ya Simba

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari wanaJukwaa,

Huku baadhi ya wanaoitwa Maselebriti wakitakiwa kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa leo kwa tuhuma za kuuza na kutumia Ngada, basi ni vyema tukawasindikiza kwa Kichupa kikali kutoka kwa Diamond Platinumz a.K.a Simba.


 
Awamu hii maisha ya watu maarufu yatajaa ukakasi, walizoea kuturingia mitaani kwamba wao wana akili za kutafuta pesa kutuzidi kumbe hamna kitu ni ujanja wa kuuza na kununua vitu haramu kama madawa ya kulevya, sasa wakati wao umefika.

Diamond zamu yake inakuja, awamu hii haina urafiki na mtu[emoji23] [emoji23]
 
Kachemshaaaaa jimbo bayaa eti kisa kanshirikisha neyo...pooor sooong .,nice video
 
bila kumsahau mkandamizaji
 
Enjoy Good music and nice video from Tanzania pride Diamond platnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…