Tuwasindikize wanaoenda kuripoti Polisi kwa Video mpya ya Simba

wewe hiyo sahau kwanini tajili asiondolewe utajili hapo tunamsubili mmoja tu
 
Nami nimeikubali sana kila nikiangalia kwenye you tube napenda kuirudia tena
 
Kwakweli Diamond ni level zinginw ila Neyo anaimba hatari kwakweli kipande chake narudia mara kwa mara
 
Nimemwona Mavoko kwenye hiyo video ya @I want marry you au macho yangu?
Sehemu yakwanza anapiga piano.
Sehemu ya pili kwenye harusi wanasheherekea isipokuwa yeye tu hasherekei na hachezi ameshika glass tu,Yupo upande wa kulia mwishoni kabisa.
 
Habari wanaJukwaa,

Huku baadhi ya wanaoitwa Maselebriti wakitakiwa kwenda kuonana na Mkuu wa Mkoa leo kwa tuhuma za kuuza na kutumia Ngada, basi ni vyema tukawasindikiza kwa Kichupa kikali kutoka kwa Diamond Platinumz a.K.a Simba.


Story inaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…