Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Dah huyu sio kibabe tuu bali ni kichaa kabisaPepe
Pande la mtu sana, alijua sana mpira vilevile alijua sana ubabe. Nani angethubutu kugombania mpira wa juu sambamba na Kizota? Lazima ule kiwiko, ukifika chini damu zinavuja.Marehemu Said Mwamba Kizota