Tuwataje Wanasoka Wanaocheza Kibabe Uwanjani!

Leo tuwataje wachezaji wanaocheza kibabe, wanaocheza rafu na wenye urafiki wa karibu na kadi za njano na nyekundu wawapo dimbani.

Mimi naanza na Sergio Ramos.
Carlos Henrique Casimiro - Real Madrid,
Salum Kabunda Ninja,
Roy Keane na Swahiba wake wa damu Patrick Vieira,
David Mwakalebela a.k.a uende wewe mpira ubaki au uende mpira wewe ubaki.
Mavumbi Omary, beki 2 ya Wekundu wa Msimbazi enzi hizo,
Said Mwamba Kizota, mipira ya juu mabeki walikua wakimuacha tu aruke mwenyewe kuogopa vipepsi.
 
Garry medel "pitbul"
Paul gascoigne "gazza"
Joe Barton
Jap stam
Roy keane
Patrick viera
Said juma nyosso
Yondani
Gattuso
Diego costa
Petrour Lima "Pepe"
Al hadji diof
 
Pande la mtu sana, alijua sana mpira vilevile alijua sana ubabe. Nani angethubutu kugombania mpira wa juu sambamba na Kizota? Lazima ule kiwiko, ukifika chini damu zinavuja.
Waqt kahamia simba mechi na al hilal ya sudan waarabu wanamfuata muamuzi na kulalama muamuzi haoni kitu mipira ya juu kumbe said anacheza kote watu wanaangalia mpira wa juu huku chini mwarabu anakula nge ya nguvu mwisho muamuzi bila ushahidi akamuita said wa kazungumza hali ikawa shwari.
 
Kumbukumbu murua
 
Mlimka a.k.a Beki Hasifiwi huyu alikua anachezea team moja pale magomeni makuti uwanja wa barafu, team yake ilikia inaitwa Kiboko Msheli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…