Tuwataje wasanii punda:

Tuwataje wasanii punda:

Microsoft

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
623
Reaction score
366
Sio punda wale wanaobeba mizigo ya kawaida???LA hasha,wanabeba mizigo kwa matumbo yao..tena wanapanda mpaka ndege hao punda,wapo na naamini watu wanawajua...mmoja huyu






Mimi ni mmoja kati ya wapiga vita hili swala na madawa ya kulevya.

Yupo mtu mmoja anajiita Ali OCS,huyu ni hatar.Huyu ndo huwa ana wabebesha akina

Linnah Sanga unga kwenda South

Anasimamia haya magari ya kwenda congo kama zuga tu.Yani ukimtaja Kinje basi huyu ndo meneja wake.

Aliwah kununua Band wakti fulani ambaye mwimbaji wake ni Riva Hassan ila ikamshinda. Yeye huyu ndo anatafutaga Mapunda wote, na wote wanamwitaga yeye baba .

Kinje yeye si Boss basi huyu ndo Katibu mkuu wake.Kila siku yeye anasafiri kwenda South. ..na ukiona anasafiri ndan ya hiyo
ndege kuna Punda wake si chini ya watatu mpaka wanne.
 
Mkuu kuna mambo mengi ya kujadili, mambo ya punda wewe yanakuhusu nini au haujipendi? kama unajipenda achana na haya mambo utapata shidq
 
Punda wa kwanza ni yule Resty wa CCM alomwagwa udiwani
 
Back
Top Bottom