Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Haki mmeanza kuiona kwa Zelensky, ila kwingine kote huko acha wauawe sio!! Waarabu hata wakiuawa ni sawa eti!!! Mnakera sana ninyi watu

Nduguye kiitikadi na Iddi Amini ana undugu wa damu na Shweitani:



Mashweitani huwa hatujadili nayo bali huyakemea!
 
Bavicha hao wanaotaka katiba mpya ikiwa ya zamani hawaijui
Wanataka katiba mpya kwa sabanu hii yuliyo nayo wameiishi na kuona mafhara yake hata Kama hawajaisoma. Nina hakika hata wewe huijui hii iliyopo kwa sababu ingaeijua kungegundua kuwa madhara ya hii katiba no ketengeneza mfalme anaeendesha nchi kwa ubabe her hata ya mkloni. Nyerere aliongoza harakati za Uhuru ili watanzania wawe na uwezo wa kuamua mambo yao badala ya kuamuliwa na mfalme aliyoko Ikulu.
 

Ninakazia: Kwa uzoefu uliopo na wingi wa mabango yenye mapungufu ya katiba iliyopo, hayupo aitakaye katiba mpya asiyejua nini anataka.

 
Maridhiano my foot! Nendeni mpake wapumbavu kwa mgongo wa chupa! Maridhiano huku mnaendelea na uporaji! kwa njia tozo! maridhiano wakati mkifurusha ndugu zetu wamasai ili muwape ardhi yao waarabu!??
Ndiyo watanzania waondoe woga kuwaambia kuwa tozo siyo kwa ajili ya V8 zenu.
Tozo siyo kuwawezesha nyie binafsi kununua Yutong 60.
Watanzania AMKENI!
 
Kuna ukweli sana kwa shida ya wa Tz ni kutaka raisi;
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye hekima na busara za kudumisha haki, uhuru na awe mkweli.
Mzalendo wa kulinda raslimali za nchi kwa faida ya wote.
 
Kuna ukweli sana kwa shida ya wa Tz ni kutaka raisi;
Mwenye hofu ya Mungu
Mwenye hekima na busara za kudumisha haki, uhuru na awe mkweli.
Mzalendo wa kulinda raslimali za nchi kwa faida ya wote.

Kwenye hilo tunapaswa kuwa macho sana na aina za kina:

Huohoi4, chituxinet, joni, na wa aina hizo.

Hawa kina Lukasi, Tula ntula na wa aina hiyo hawana madhara ni ma time server tu.

Ukifa mke wako aolewe tutaomba kuku zoom kujiriridhisha uko nasi au futungo.

Kiroho safi tu.

Au nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…