Mnajisumbua yani kinyama hata mki unfollow, you just unfollow tu koz sisi wengine tupo na am telling u guys hao waandishi wenu wa kibongo wana njaa kinyama tu so msitegemee eti hayo maagizo yenu yatadumu.Kwanza dunia imekuwa kijiji sisi wengine tutatengeneza groups na pages kibao sana za kuwapasha habari watanzania kwa matukio yote ya Mr Paul, lakini pia vyombo bado vilivyopo (kadhaa) vinatutosha sana, kuna majarida vipeperushi, yapo magazeti flani flani hata radio bado zipo kadhaa.Kwa hilo la kutomtangaza aaaaah mnajisumbua tena ndo kwaaaanza. ndo ninapozidi kumuelewa [HASHTAG]#trumpagainstmedia[/HASHTAG] .Unafiki umewajaa vyombo vya habari. Viva Paul Makonda, viva JPM [HASHTAG]#chapakazi[/HASHTAG], ACHENI LELEJF napendekeza tuwaunge mkono jukwaa la Wahiriri kwa hii issue ya Paulo. Mimi napendekeza tuanze kuwa unfollow wale wote wanaendelea kumsupport Paulo huku kwenye social network.
Nataka wajue kwamba bila sisi hakuna anayeweza kuwa king of social media. Tusiishie hapo, hata msanii yeyote akiendelea kurusha habari za Paulo basi tum-unfollow. Lazima wataomba pooo.
Nawasilisha.
sijamfollow mtu mimi huwa nasubiri wani follow wao
Mnajisumbua yani kinyama hata mki unfollow, you just unfollow tu koz sisi wengine tupo na am telling u guys hao waandishi wenu wa kibongo wana njaa kinyama tu so msitegemee eti hayo maagizo yenu yatadumu.Kwanza dunia imekuwa kijiji sisi wengine tutatengeneza groups na pages kibao sana za kuwapasha habari watanzania kwa matukio yote ya Mr Paul, lakini pia vyombo bado vilivyopo (kadhaa) vinatutosha sana, kuna majarida vipeperushi, yapo magazeti flani flani hata radio bado zipo kadhaa.Kwa hilo la kutomtangaza aaaaah mnajisumbua tena ndo kwaaaanza. ndo ninapozidi kumuelewa [HASHTAG]#trumpagainstmedia[/HASHTAG] .Unafiki umewajaa vyombo vya habari. Viva Paul Makonda, viva JPM [HASHTAG]#chapakazi[/HASHTAG], ACHENI LELE[/QUOTE
Haya.. muda ni mwalimu mzuri
kama zipi?Watanzania wanazidi kuwa wajinga. Acheni kelele za ki udaku. Leteni idea za kiume
Chuki ipi dada? Tunawaunga mkono jukwaa la wahariri#chukinisumu#
Mkuu umesha unfolow bashite na le mutuz?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji109][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mkuu umesha unfolow bashite na le mutuz?
Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi BashiteJF napendekeza tuwaunge mkono jukwaa la Wahiriri kwa hii issue ya Paulo. Mimi napendekeza tuanze kuwa unfollow wale wote wanaendelea kumsupport Paulo huku kwenye social network.
Nataka wajue kwamba bila sisi hakuna anayeweza kuwa king of social media. Tusiishie hapo, hata msanii yeyote akiendelea kurusha habari za Paulo basi tum-unfollow. Lazima wataomba pooo.
Nawasilisha.