Tuwe makini na hao wafanyabiashara wanaotuuzia vitu

Masumbuga

New Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
2
Reaction score
2
habari wanajamii forum,

nimesikitika sana ndo maana nimeamua kuandika hili lalamiko kwenye upande wa biashara.. watu sijui kwanini hawapendi uaminifu na kutuuzia vitu ambavyo haviendani na uhalisia wake.. nitatoa mfano hapa.. nikajuana na mfayabiashara mmoja alikuwa anatangaza powerbank, sasa nikampigia simu akaniambia power bank ziko za uwezo wa 20000mah na 50000amh, nikamuomba ya 20000mah akasema mzigo haujaingia ipo ya 50000amh nikachua kulingana na wataalamu wa power iyo ingecharge simu ya mpk mara kumi na tano matokeo yake ikacharge mara nne tuu ila nikapotezea nikaagiza ya 20000mah iyo kwa uwezo wake ingecharge simu yangu mara nane.. matokeo yake inchage mara moja tena hata haijzi.. nikamuuelezea shida yangu nikasafiri mpaka dar-es-salaam kumfuata matokeo yake hapokei simu wala hata hajibu meseji zangu hapo tiyari anajua alishafanya kosa kabisa la kuniuzia vitu feki.. nikapeleka kwa waataamu wa simu wakaniambia hii ni feki hata kwa kuingalia wakalinanisha na zilipo pale dukani.. nikajikuta nimeingia hasara kununua power bank zote mbili ... namalizia kwa kusema tuweni makini kabisa na hao wafanyabiashara...
http://www.nifahamishe.com/ProductDetails.aspx?ProductID=2168 hii ni link kwa huyo mfanyabiashara aliyeniuzi hizo powerbank anapatikana kwa page ya jifahamishe.. kuweni makini kabisa.. na kama kuna mtu anaweza akamkanya amwambie maana mie hapokei simu zangu kabisa..
 
Siyo vizuri ungejua mapema ungemtafuta jamaa mmoja anauza Silver na Power bank ni muaminifu nishafanya nae biashara kupitia JF

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…