mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Mod najua na uzi huu mtaufuta,
Lakini niwaambie tu kwa kifupi kuwa tuwe makini na sheria mpya
ya makosa ya kimtandao na mod wa JF,
Hii ni kutokana na kwamba kamchezo ka ku edit thread ya watu bila makubaliano na mhusika ni mbaya
hususani kipindi hiki ambacho sheria ya makosa ya kimtandao inaanza fanya kazi
Kuna watu wanaweza kuwa liable kwa makosa ambayo hawajafanya,
Nimechukizwa na kitendo cha Mod wa JF leo asubuhi ku edit thread yangu
ambayo heading ilisomeka "THREAD YANGU YA MWISHO NDANI YA JF NA MAONI YANGU"
wao wameigeuza na kuiandika "JE TUME YA UCHAGUZI ITATENDA HAKI?"
Najiuliza:
Hivi kama mnaweza ku edit maandiko ya mtu humu, ninyi si mnaweza mfunga mtu kwa sheria mpya ya cybercrime kwa ku edit alichopost???