Tuwe makini, wafanyabiashara wa mabasi na wasifirishaji wa mizigo wanaweza kuihujumu Treni ya SGR

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Uongozi wa TRA pamoja na mamlaka zingine ziwe makini sana na baadhi ya wafanyabiashara/wasafirishaji wa mabasi na malori ya mizigo wanaweza kuhujumu usafiri mpya ulio zinduliwa wa treni ya kisasa ya SGR.

Tunafahamu baadhi ya wafanyabiashara za usafirishaji hawakufurahia ujio wa SGR kwa kisingizio kuwa utaharibu biashara yao ya usafirishaji kwa mabasi na mizigo.

Tuwe makini, tulinde treni yetu.
 
tunafahamu baadhi ya wafanyabiashara za usafirishaji hawakufurahia ujio wa SGR kwa kisingizio kuwa utaharibu biashara yao ya usafirishaji kwa mabasi na mizigo.

tuwe makini, tulinde treni yetu.
Umewaza vyema kabisa,tufanye utafiti haraka huko treni la aina hii wanafanyaje kudhibti hujuma hii!
 
Sasa kama wenye mabasi wenyewe ndo wawakilishi wa wananchi uko bungeni unategemea nn?
Nianze na Abood mbunge Morogoro Mjini
Shabiby mbunge Gairo
King msukuma mbunge Geita vijijini
Ongezea na wengine twende Sawa.
 
Uongozi wa TRA pamoja na mamlaka zingine ziwe makini sana na baadhi ya wafanyabiashara/wasafirishaji wa mabasi na malori ya mizigo wanaweza kuhujumu usafiri mpya ulio zinduliwa wa treni ya kisasa ya SGR.

Tunafahamu baadhi ya wafanyabiashara za usafirishaji hawakufurahia ujio wa SGR kwa kisingizio kuwa utaharibu biashara yao ya usafirishaji kwa mabasi na mizigo.

Tuwe makini, tulinde treni yetu.
Uzuri ni kwamba
  1. Wanajifahamu
  2. Wanafahamika kwa rangi na tabia
 
Sasa kama wenye mabasi wenyewe ndo wawakilishi wa wananchi uko bungeni unategemea nn?
Nianze na Abood mbunge Morogoro Mjini
Shabiby mbunge Gairo
King msukuma mbunge Geita vijijini
Ongezea na wengine twende Sawa.
Mimi mbunge wa Mwakaleli!
 
Back
Top Bottom