Wawe makini kivipi Dada angu? Huwezi kumjua mtu Eti pale tu atakapokuja kwa mara ya kwanza, ujue huyu huko hvi au vile. Kinachotakiwa hapa ni wewe kuwa na msimamo wako.sikushaur uje kuw mke wa pili ,achana nae mana bado hajakuletea effect kubwa kam vle Mimba,ambyo inawez kukufany ukakae naye..
Kwa Dunia ya leo wake wawil ni Ugomv ambao hutawez kuhimil kam una moyo mwepes. Ni hayo tu sisy angu na pole sana kwa yaliyokukuta.
Penzi lake ndio linaonekana lilikufanya uwe kipofu ukashindwa kumgundua
mume wa mtu utamjua tu ukiamua, pole sana kwa kuingizwa chaka, kakupotezea muda wa chuon
ambao ndio mzuri wa kutafuta mchumba,
maana hapo ndio mnajuana barabara, achana na ukewenza, tulia tu utampata wako wa milele na utamsahau huyo mwongo
embu imagine umempa nafasi unakuwa mke wa pili atakavokuwa anakudanganya
achana nae ushamjua na uongo wake
Wewe siwezi kukudanganya ila ukinidanganya moja nakudanganya kumi...
Inategemea na situation, atleast unajua uko na mtu wa namna gani na hujiachii asilimia zote, na kama kumkatalia kamahumtaki pia inakuwa ni uamuzi wako, kwa vie ukweli unakuwa naoHv angekuambia ukweli kwamba ameoa na ana familia ungempa "TUNDI"?
Hebu ongea na SaraM
Ahsante masaki, kwa mawazo mazuri kweli huu ndio ukubwa, mama aliposema kua uyaone hakumaanisha magorofa ya posta bali na vijambo kama hiviPole. Fungua ukurasa mpya kwenye maisha na mapenzi kwa ujumla. Ukisikia ukubwa dawa ndio huo sasa. Yaani ndio umeshakuwa mkubwa sasa. Ila namwonea huruma huyo atayefuata baada ya hapo. Moyo ukishajeruhiwa huachiwa vidonda, vidonga vikipona huacha makovu. Sasa kwenye kovu mara nyingi huwa hakuna hisia halisi kama zile zilizopo kwenye sehemu ambayo haina kovu.
Ndio umeshakomaa hivyo Sara. Songa mbele, picha la maisha ndio kwanza limeanza!
\pole sana dada.... but all i can say is , DO YOUR HOMEWORKNashukuru wana jf kwa makaribisho mazuri,
hivi inakuwaje mwanaume anakuwa muongo anakudanganya for two years kwamba hajaoa, then unakuja unagundua kaoa ,ana mke na watoto
Mie nimedanganywa na sasa niko kwenye maumivu makali ili niweze kuendelea na maisha,nilikutana nae chuoni yeye anasoma masomo ya juu zaidi yangu, akasema yuko single na mipango yote ya kuoana tukimaliza chuo alikuwa ananiambia.
Yeye alitangulia kumaliza lakini alikuwa anasafiri anakuja kuniangalia chuoni, baasi nilipomaliza kwa vile tunakaa mikoa tofauti nikaamua kumzukia kwa suprise huko anapoishi, nilienda nilipofika mojakwa moja hadi ofisini, kastuka sana, tukatoka nikajua napelekwa kwake akaishia hotelini, jioni alipokuja ndio akanimwagia hilo shuzi, eti sorry,hivi kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki?nawaasa wasichana wenzangu wawe makini sana na hawa wenzetu kwani sio kila kitu wanachosem ni kweli....sasa nikaamua kukatisha mawasiliano kabisa kwa kipindi kirefu kiasi
juzjuz kaja na mpya kaniomba anioe mke wa pili kwamba hawezi ishi bila mimi, marafiki zangu wanavutana wengine wanasema nikubali na wengine wanasema niendelee na msimamo wangu, je wewe mwana jf mwenzangu unasemaje?????
Ahsante mpendwa, nimependa tu kushare na watu nione mawazo yao kama yanalingana na ya kwangu, kuhusu kuolewa ndio napenda kuolewa ila siko that much desperateDada heading yako inatuambia wadada tuwe makini tutadanganywa mpaka lini. Sa mbona we bado unaendelea kudanganywa? Mtu ashakwambia ana mkewe bado tu unajiuliza mara mbili ukubali kuolewa nae au la? Alimpenda mkewe mpaka akaamua kumuoa kama asingempenda angekwambia anamuacha akuoe wewe lakini kakwambia akuoe mke wa pili, na wewe ukishaingia ndoani akikuchoka atatafuta mke wa tatu na ikiwezekana zaidi.
Amka zinduka usingizini mdada inaelekea una hamu sana ya ndoa ndio maana huyo mbaba anazidi kukudanganya. Subiri muda wako wa kuolewa bado haujafika wadada mpunguze kutamani ndoa kabla ya wakati, hasa hawa wa chuoni wanatamani akimaliza tu chuo apate ndoa. Mtaendelea kudanganywa mpaka
<br />
<br />
ni sahihi kabisa, tena huwa namwambia unanidanganya kimoyo moyo. Nikihisi unanidanganya muda si mrefu napata evidence kuwa ulinidanganya. Ni ngumu kuniamini ila habari ndio hiyo.
Mtumeeeee! keshaibiwa mtu mume, sasa huyo mume alidhani akikudanganya ndio ataonekana bora ama?
endelea na maisha kuliko kukubali kuwa mke wa pili kwa jamaa muongo hivo
Jitu kama hili litakuwa smart sana huwezi kulikamata, mweeee maumivu nahisiShantel umeshtuka? Haya sasa wale wa mkoani wenye waume waliomaliza elimu ya juu karibuni waanze kupekua simu! Teh teh teh
Mia, fadhila gan sasa wakati jamaa hakuwa mkweli, this means hata walichokuwa nacho wakadhani ni penzi ni uongo mtupubadilisha msimamo.kaa chini muyamalize na mmeo.yaani kuoa tu ndo usahau fadhira zote.ongea na moyo wako kumbuka penzi lenu lilivyokuwa moto moto.piga moyo konde.kijana kaonyesha nia na katubu.huwezi jua kwanini kaoa.maisha ni mzunguko.kama siku hiyo alikuambia na bado alivyorudi jioni ukalala nae,unafikiri kuna nini tena?inawezekana wewe ni wapili kwenye ndoa lakini wa kwanza moyoni.mia