Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

<br />
<br />
kuna mtu amenibishia. Mimi hata rafiki yangu akiniambia hus huyu shemeji yako nikikaa nao kidogo naweza jua yule mwanaume yupo vipi.
Makosa mengine ni ya kujitakia NK, kuna dada mmoja girlfriend wa baba yangu mdogo, yaani yule dada amekufa ameoza ila bamdogo hizo pozi anazomwekea ni balaa na mara kibao mdada anadanganywa. Natamani nimwambie aendelee na maisha yake atapata mwingine ila mambo haya bora kuwaachia wahusika.
 
ili msidanganywe sana acheni haya

acheni kuvaa kucha za bandia
nywele za bandia
kujikrim
kukuza matiti
kukuza makalio

mkiacha hayo mtapata wanaume bora..lakini unakuta mdada anatuia moja ya hayo hapo juu ...kitabia ni mzuri lakini mwilini mwake amejaa vitu fake...halafu unategemea kupata bwana mzuri mwenye maadili na tabia njema??

NO WAY.LAZIMA ATAKUDANYANYA
...
 
Mh. Sasa u fake wa binti unahusika vipi na u fake wa penzi? Au mnaogopa gharama??
QUOTE=Edson;2473004]ili msidanganywe sana acheni haya

acheni kuvaa kucha za bandia
nywele za bandia
kujikrim
kukuza matiti
kukuza makalio

mkiacha hayo mtapata wanaume bora..lakini unakuta mdada anatuia moja ya hayo hapo juu ...kitabia ni mzuri lakini mwilini mwake amejaa vitu fake...halafu unategemea kupata bwana mzuri mwenye maadili na tabia njema??

NO WAY.LAZIMA ATAKUDANYANYA
...[/QUOTE]
 
nimeisoma hii story yote..mwanzo umeanza vizuri kabisa ila hapo chini inaonekana hii story ni fabricated........sio wewe na wewe kama wewe hujakutwa na haya masaibu......anyway unawapa somo zuri
 
Ndugu uckubali kuolewa mitara,wanaume wapo wengi subiri atakuja tena mtamu sana mpaka utasahau shubiri.
 

Kama ulishamwonyesha kila sehemu ya mwili wako unachomkatalia ni nini? Kama imani yako inaruhusu bora uolewe kabla hujakutana na tapeli mwingine. Afterall, wasichana sasa hivi mko juu kiuchumi hivyo vijana hawana mpango wa kuoa. Ukimkosa huyo utaishia kuzalishwa na kuacha. Hakuna awali mbovu
 
Pole futa mawasiliano yoyote naye then tuliza akili kwa kujiweka busy na mambo yako mkweli atakuja tu
 
<br />
<br />
wapo wasichana wastaarabu hawana makuu na bado wanadanganywa. Tena hao wa makucha na manywele huwa wengi hawadanganywi wanadanganyana.
 
Mpenzi ambae ni msiri msiri hapendi umfahamu si mpenzi. Stuka mapema kabla hamjafika mbali.
 
Pole SaraM. Tulia, mwombe Mungu atakupa wa kwako mwenyewe! All the best!
 
vuta subira na jitahidi usije ukarudia makosa ya awali
 
nimeisoma hii story yote..mwanzo umeanza vizuri kabisa ila hapo chini inaonekana hii story ni fabricated........sio wewe na wewe kama wewe hujakutwa na haya masaibu......anyway unawapa somo zuri
Fabricated kivipi, hii nimeandika ndio ivotokea sijaongeza wala kupunguza
 
Pole!
Girls must be extra careful! tatizo most of them are material oriented! So when you meet a man who is ready to spend any thing in order to make you happy then you should expect any thing in the future!
Kama ujuavyo tena inakuwa ngumu kumjua mwanaume mkeli na muongo kwa mara moja! ila kwa upande mwingine wanawake waongo pia wapo mitaani siku hizi!
 
Kwel kabisa usemayo uongo mwiko, lakini hayuko kifedha kivileee, na mie nilimchukulia kama mtu wangu wa kufa na kuzikana, kwa hiyo vibomu havikuwa kivile,mayb msaaada mkubwa wa kimasomo
 
Kwel kabisa usemayo uongo mwiko, lakini hayuko kifedha kivileee, na mie nilimchukulia kama mtu wangu wa kufa na kuzikana, kwa hiyo vibomu havikuwa kivile,mayb msaaada mkubwa wa kimasomo
wewe hakikisha tu unafata maisha yako achana nae hata kama ulimpenda vipi, uongo mbaya sana, jiulize kwa nn alikudanganya?
 

Achana naye huyo kakupotezea muda bure na ndio alikuzibia riziki kwangu. Njoo huku nikupe malovedove.
 

Hapo kwenye nyekundu: itifaki imezingatiwa kweli hapo?
 

Nyie mnaojishebedua humu ndo huwa mnadanganyika kirahisi kweli.
Usikute wewe ni nyumba ndogo ya mtu na umeikubali hali hiyo.
 

Msimpotoshe mwenzenu akakosa bahati yake bure.
Mbona nyie hamsemi mahusiano yenu yakoje. Kazi kujifanya kuwashauri wenzenu. Nyie wenyewe ndo mmetendwa kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…