Pole dada. Ila la mke wa pili sikushauri. Maana hapa sisi tuko wawili yani husband na wife bado songombingo; sasa nambie muwe na uhusiano wa watu watatu; mume mmoja wake wawili; si kutafuta maradhi huko dada maana hapo ina maana umemuamini mume wako na mke mwenzio.
Baba enock niliamua kum surprise ile ya kimahaba, na nikijua yuko ofisini coz asubuhi na mapema alinipigia kwa landline kwa hiyo nisingewaza namfumania ofisini, pia ilikuwa ya kimahaba bila kuwaza lolote, swali kwako, kwa nini unafikiri alinidanganya? alidhani akisema ameoa ningemkataa au ni kitu gani alikuwa anawaza, kwa maoni yako tu
1.Tatizo wasichana tunajenga mazingira ya kudanganywa tangu awali. Mwanaume ukimdanganya jambo moja na akagundua umemdanganya ujue wewe utadanganywa matano.
2. Wasichana wamekuwa wepesi sana kuwaamini hawa wanaume hivyo kuwahi kuanzisha mahusiano nao kabla hawajawaelewa.
3. Wanashindwa kutofautisha wanapopendwa kikweli na wanapotumiwa.
4. Wasichana wengi ni kama wanalazimisha penzi, yaani unaona kabisa mtu hakupendi ila kwa sababu moyo wako upo pale unaona hakuna mwingine.
Yaani mimi mtu akinidanganya siku hiyo najua kama ananidanganya. Ndani ya wiki tu nitajua hadi marital status yake labda kama sihitaji kumjua.
wasichana wengi hawapendi kusema ukweli wanapenda kuongopewa tu ..... maana anapenda vitu vya mpito kuliko halisia
Hili nalo neno, maana hizo zamu!
<br />nimeisoma hii story yote..mwanzo umeanza vizuri kabisa ila hapo chini inaonekana hii story ni fabricated........sio wewe na wewe kama wewe hujakutwa na haya masaibu......anyway unawapa somo zuri
<br />nimeisoma hii story yote..mwanzo umeanza vizuri kabisa ila hapo chini inaonekana hii story ni fabricated........sio wewe na wewe kama wewe hujakutwa na haya masaibu......anyway unawapa somo zuri
And that is the price they are paying for.
OOOOOOOOoohh!! hivi ni vitu vidogo tu saraM. mke mmoja siku zote ni tatizo wewe cha msingi kubali uwe wa pili nakwambia utashangaa. hiyo ni heshima kubwa dhili yako, mara nyingi anaeumia hapa ni mke wa kwanza ila naye baada ya muda mambo yanakaa sawa tu. ingia tena usivue viatu we pita tu. ila yule mwengine naye vipi?? Mr. M
Uwe mke wa pili? Huna wivu weye?
<br />Watu kama nyie ndo huwa mnapatikana kirahisi mno.
Hus ni kweli. Ni rahisi sana kumchunguza mpenzi wako pale mnapoanza mapenzi kwani huwezi kupenda na kumzimikia mtu ghafla kwa maana ya kuingia kichwa kichwa. Muda wa mwanzo mwanzo wa uhusiano kila mtu anakuwa amekaa kimachale machale.
Ila ndio hivyo kuna watu hawawezi kujifunza mpaka wakosee (learners through mistakes) na kuna wengine wanajifunza kutokana na makosa ya wenzao (learners through other's mistakes) which is a best way to learn.
Wawe makini kivipi Dada angu? Huwezi kumjua mtu Eti pale tu atakapokuja kwa mara ya kwanza, ujue huyu huko hvi au vile. Kinachotakiwa hapa ni wewe kuwa na msimamo wako.sikushaur uje kuw mke wa pili ,achana nae mana bado hajakuletea effect kubwa kam vle Mimba,ambyo inawez kukufany ukakae naye.. Kwa Dunia ya leo wake wawil ni Ugomv ambao hutawez kuhimil kam una moyo mwepes. Ni hayo tu sisy angu na pole sana kwa yaliyokukuta.
Nashukuru wana jf kwa makaribisho mazuri,
hivi inakuwaje mwanaume anakuwa muongo anakudanganya for two years kwamba hajaoa, then unakuja unagundua kaoa ,ana mke na watoto
Mie nimedanganywa na sasa niko kwenye maumivu makali ili niweze kuendelea na maisha,nilikutana nae chuoni yeye anasoma masomo ya juu zaidi yangu, akasema yuko single na mipango yote ya kuoana tukimaliza chuo alikuwa ananiambia.
Yeye alitangulia kumaliza lakini alikuwa anasafiri anakuja kuniangalia chuoni, baasi nilipomaliza kwa vile tunakaa mikoa tofauti nikaamua kumzukia kwa suprise huko anapoishi, nilienda nilipofika mojakwa moja hadi ofisini, kastuka sana, tukatoka nikajua napelekwa kwake akaishia hotelini, jioni alipokuja ndio akanimwagia hilo shuzi, eti sorry,hivi kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki?nawaasa wasichana wenzangu wawe makini sana na hawa wenzetu kwani sio kila kitu wanachosem ni kweli....sasa nikaamua kukatisha mawasiliano kabisa kwa kipindi kirefu kiasi
juzjuz kaja na mpya kaniomba anioe mke wa pili kwamba hawezi ishi bila mimi, marafiki zangu wanavutana wengine wanasema nikubali na wengine wanasema niendelee na msimamo wangu, je wewe mwana jf mwenzangu unasemaje?????
Yaani nina wivu wa hatari mwanajamii, nilipenda hasa
Watu kama nyie ndio rahisi sana kudanganywa. Huenda hapo ulipo umeshadanganywa mpaka basi.
mwache asubiri awe mke wa kwanza wakati na watu tayari wanajua kuwa alishawahi kuwa na mwanamme. hata sisi wanaume tunapenda tuwe wa kwanza kwa mwanamke sio yeye tu! sasa yeye atakuwa wa ngapi. na siajabu watu pia wana taarifa kuwa huyo si mwanamme wa kwanza kwa ndugu yetu saraM .aendelee kusubiri tu bana ila na yeye pia alishaharibu kwa upande wake. angelisubiri kabla kula maraha na hao vijamaa. duuuuuuduh heri kuwa hawara kuliko kuwa mke mdogo maana shari lake kubwa