Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Nov 17, 2016 #1 Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe. Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe. Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Nov 19, 2016 #2 Hahahaha,umetishaaa