Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Baada ya Lissu kukataa kupima mkojo na wakili Fatma Karume kumshitaki Polisi aliemzonga Mahakamani, nimegundua kuna umuhumi mkubwa wa wananchi kujua sheria za nchi zinasema nini na pia katiba ya nchi inasema nini.
Ni wazi watanzania wengi wananyanyasiki kwa kutojua sheria za nchi na kutojua sheria na katiba ya nchi inasema nini tafsiri yake ni kutojua haki zako na tafsiri sahihi ya kutojua haki zako ni kunyanyasika, kuonwa na kudhalilishwa.
Nafikiri wakati umefika somo la katiba na sheria liwe introduced katika mfumo wetu wa elimu kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari na ikiwezekana mpaka chuo kikuu..
Somo hili liwe compulsory ni lilenge kutoa basic knowledge kuhusu sheria za nchi na katiba ili wananchi wafahamu haki zao.
Pamoja na mambo mengine,somo hili lilenge kuelimisha umma haki zao za kisheria wawapo mikononi mwa polisi,mahakamani na mahabusu.
Sitaraji watawala wa sasa wanaweza kukubali wazo hili hivyo nawashauri UKAWA kuchukua wazo hili na waliingize katika Ilani yao ya mwaka 2020.
Civics pekee naona haitoshi na badala yake kuna paswa kuwa na somo (subject) maalumu kuhusu basic laws na haki za raia wa nchie hii