NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 323
- Thread starter
-
- #21
Mkuu minyoo iko kwa wingi na husababishwa na baadhi ya vyakula tunavyokula.Siyo kunywa dawa, utakunywaje dawa bila kupima? Sema hivi kila baada ya miezi mitatu watu wapime waangalie km kuna hilo tatizo!!!!!
Kwani hivyo vipimo ni bure? kama sio bure nenda maduka ya dawa utapata dozi uitakayo tu!..Nilikwenda hospital moja nikataka hizo dawa wakakataa kunipa wakidai nimejuaje nina minyoo, wakasema sharti nipime kwanza ndipo wanipatie dozi inayofaa kama nitakuwa nayo au la!
Hatari sana mkuu jitahidi unywe dawa miaka kumi na tano ni mingi sana yaan hapo minyoo imekua mpaka kufikia size ya chatuMungu wangu!! yaani sikumbuki mara ya mwisho nilikunywa dawa za minyoo lini!! lakini inaweza ikawa imepita miaka hata kumi na tano....
Hivi nina minyoo ambayo nimetumia Mabendazole lakini bado sijaona nafuu.Hatari sana mkuu jitahidi unywe dawa miaka kumi na tano ni mingi sana yaan hapo minyoo imekua mpaka kufikia size ya chatu
Mkuu ukifanya masihala kuna siku itaanza kutoka utashangaa inatokea kwenye suruari.Hivi nina minyoo ambayo nimetumia Mabendazole lakini bado sijaona nafuu.
Ila kinacho kera ni sehemu ya haja kubwa kuna kitu kina chezacheza /kutekenya. Hivi huo ni mnyoo gani
Ahsante Mkuu kwa ushauri wako. Ila bado sijapata Dawa mujarabu.Mkuu ukifanya masihala kuna siku itaanza kutoka utashangaa inatokea kwenye suruari.
Halafu ilivyo na sifa inawasha sana mbele za watu haaaa utageuka huku na huko kutafuta maficho ujikune.
Wahi wataalam watakupa ushauri wa kina.