Tuwe na vyuo vya ufundi vingi sasa

Tuwe na vyuo vya ufundi vingi sasa

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello JF...

Nimeona kilio cha wahitimu wetu wa University kuongezewa deni la mkopo.

Hii ipo nchi nyingi duniani.

I understand, deni linafidia na kuwasomesha wengine.

ila ingependeza kama serikali ingejenga colleges ambazo zinatoa course almost similar but at cheaper price,

kiasi kwamba wananchi can afford, na kama ni kuchukua loan, then sio loan zitakazoumiza.

One advantage; ni hii affordability itawa motivate watu wengi zaidi kujiunga na hizi colleges.

Huu uwingi wa watu kutaka kusoma kwenye hizo colleges,ukitumika vyema kwa kuwapa relevant knowledge/skillsn will drive our nation foward.

This means we will have educated nation! which is good for the economy

Sio kama sasa hivi, Universities fees ziko juu sana, na bado kuna deni la milele, this detters other people to enroll

Matokeo yake ni wachache wanajiunga na hizo universities,while majority of Tanzanians remains in the dark

This adds to economic burdens.

Becky
 
Yani hiki ndicho nlichokua naongea na wadau leo.

upishi, useremala, ukulima, ufugaji, kupaka rangi wadada, kusuka, udereva, n.k hizi ni taaluma ambazo uhakika wa kupata pesa upo, hata kama ni kidogo ni bora kuliko kukaa kaa tu unasubiri ajira na huna kitu mfukoni miaka inaenda huna hata pesa ya kuhama kwa wazazi au ndugu.

Niliweka uzi humu ndani kaka yangu alikuwa na masters, alikosa kazi, ila kwa kuwa alikuwa na taaluma ya kujua kinyozi tangu sekondari boarding, akatumia ujuzi huu huu kuingiza kipato, akajidunduliza akafungua biashara nyinginezo leo hii yupo mbali sana, mimi mdogo wake nimeajiriwa kama muhasibu serikalini lakini nachoingiza hakifikii hata robo ya anachoingiza bro.

Nakazia jamani, maisha baada ya chuo ni magumu, wasomi mjipange kweli kweli, lasivyo mtazeekea nyumbani na vyeti.

Kijana hasa uliemaliza chuo, nakuomba uende hata ukasomee upishi miezi michache tu, ni heri uww unaingiza hata faida ya buku 3 kila siku kuliko kukaa tu unasubiri kuitwa interview na hela hata ya kwenda interview hauna.
 
Back
Top Bottom