Mrekebishaji,
Nashangaa umesema maendeleo yataletwa na wananchi halafu unakazania zaidi a top down approach, kama vile maendeleo yataletwa na wabunge.
Mapendekezo yangu hapo juu ni kuwaelimisha wananchi zaidi kuhusu umuhimu wa masuala ya kitaifa, na wabunge kuwa na balance nzuri kati ya maswala ya kitaifa na ya kijimbo.Since all politics is local, hata hayo ya kitaifa (ufisadi, katiba, demokrasia etc) yana umuhimu taifa zima, pamoja na haya majimbo.
Objectives zako zinaweza kufikiwa bila kubadilisha mfumo wa ubunge.