OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Bado haujajibu,naona umemchambua zaidi Lissu. Angalau basi ungejibu udhaifu alioudokeza Lissu jana.Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.
..Mbowe hajakata tamaa na kiwango cha uvumilivu kiko bora kabisa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote na hivyo atakilinda chama kisivunjike wakati huu ambapo ccm wamedhoofika zaidi, ccm inaongozwa kitoto hawatafika mbali na hawana hao watu wa kuwapa matokeo yanayoweza kuwaridhisha wote wao kwa wao na wananchi kwa ujumla, kila majira yana mahitaji yake mawili au matatu muhimu, mahitaji ya chadema kwa sasa hayamhitaji mtu wa aina ya Lissu..Bado haujajibu,naona umemchambua zaidi Lissu. Angalau basi ungejibu udhaifu alioudokeza Lissu jana.
Hoja ya msingi ni Mbowe atataka kuendelea kuwa mwenyekiti ili afanye nini zaidi ambacho hakufanya in 20yrs plus
Hakunaga cha kusubiri 😂😂Nadhani tungesubiri kidogo ili labda Kama Mbowe atatangaza kugombea ndio tuanze kujadili
Miaka 20 inamtosha..Mbowe hajakata tamaa na kiwango cha uvumilivu kiko bora kabisa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote na hivyo atakilinda chama kisivunjike wakati huu ambapo ccm wamedhoofika zaidi, ccm inaongozwa kitoto hawatafika mbali na hawana hao watu wa kuwapa matokeo yanayoweza kuwaridhisha wote wao kwa wao na wananchi kwa ujumla, kila majira yana mahitaji yake mawili au matatu muhimu, mahitaji ya chadema kwa sasa hayamhitaji mtu wa aina ya Lissu..
2004MALENGo yametimia na mwamba kawavusha salama Toka 2006
Mbowe hana sababu zozote za kumfanya kuwa mwenyekiti tena. Tena inabidi akitoka tu na katiba ifanyiwe marekebisho haraka kuweka ukomo wa uongozi. Mapendekezo aliyotoa Lisu jana baada ya kumsikiliza zaidi ya 90% ni ya kuchukuliwa na kufanyiwa kazi, kwani ni kwa faida ya taasisi zaidi.Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
sawa,ila nilikuwa nimejikita kwenye MALENGo ya kikatiba kutobadilisha mwenyekiti kwasasa chama kimetapaka nchi zima na duniani2004
..ccm hawajawahi kushauriwa wapumzike? Kipi kitakuwa na matokeo mazuri kwa nchi, ccm wapumzike au Mbowe amwachie Lissu..Miaka 20 inamtosha
Alianza na hayati Mkapa, JK, Shujaa hadi Leo zama za Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Apumzike kama alivyoshauriwa na Viongozi wa dini 🐼
CCM wanaheshimu Katiba yao..ccm hawajawahi kushauriwa wapumzike?
..Mbowe hajakata tamaa na kiwango cha uvumilivu kiko bora kabisa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote na hivyo atakilinda chama kisivunjike wakati huu ambapo ccm wamedhoofika zaidi, ccm inaongozwa kitoto hawatafika mbali na hawana hao watu wa kuwapa matokeo yanayoweza kuwaridhisha wote wao kwa wao na wananchi kwa ujumla, kila majira yana mahitaji yake mawili au matatu muhimu, mahitaji ya chadema kwa sasa hayamhitaji mtu wa aina ya Lissu..