Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

Mahitaji ya cdm ya sasa yanamuhitaji nani?
 
Gentleman,
una haraka na mchecheto wa nini, si uwe mstahimilivu na mwenye subra ili wakati wa yeye mwenyewe ukifika si atasema ana sababu zipi za yeye kuendelea kua mwenyekiti wa chama hicho,

kisha halafu tupime sababu hizo na huyo mgombea wako?πŸ’
 
Huna hoja yoyote ya msingi bali una nongwa zaidi.
 
Huna mamlaka ya kunipangia kujadili nini wakati gani
 
Aliishasema kuwa hatagombea.

Amandla...
 
Hii kitu niliwawleza Jana, hili ni Mipango mkakati kusoma upepo na kilichotokea Jana ni dhahiri CDM wamefaulu
 
Tukirejea nyuma mwaka 2022 nadhani alishaweka Wazi kwamba hiki ni kipindi chake cha mwisho
 
Kwa kifupi, huyu ndiye aliyeandaliwa kuchukua mikoba ya Freeman Mbowe CHADEMA...

There's absolutely NO HATE NOR FEAR in this move.πŸ“ŒπŸ’ͺ🏿..
 
Na ni move ambayo imeitetemesha Lumumba, Magogoni na Chamwino yote....

Ndiyo maana huko Lumumba hakukaliki Sasa hivi. Wanabuni plan C maana A & B zote zilishafeli...❀❀πŸ’ͺπŸΏπŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…