G gallalumba New Member Joined Jul 2, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Jul 10, 2015 #1 Habari? wapendwa ninayo furaha kubwa kuingia katika jamii forum natumaini kujifunza mengi kutok akwenu wadau na mimi kile nilichonacho nitajaribu kushirikiana nanyi lengo ni kujengana na kusonga mbele asante.
Habari? wapendwa ninayo furaha kubwa kuingia katika jamii forum natumaini kujifunza mengi kutok akwenu wadau na mimi kile nilichonacho nitajaribu kushirikiana nanyi lengo ni kujengana na kusonga mbele asante.
WABALLA Inc JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 2,711 Reaction score 1,017 Jul 10, 2015 #2 gallalumba Karibu sana kwenye mtandao wenye mitazamo na hoja za kujenga.kamwe hutojutia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Jul 10, 2015 #3 karibu sana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 12, 2015 #4 Karibu sana JF...