Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata hasara ya karibia shilingi Billoni 60!!! Hiyo ni hasara ya mwaka mmoja tu lakini shirika tangu lifufuliwe limelimbikiza hasara kubwa zaidi.
Wamejitokeza wachuni ambao wameelezwa kuwa ni watafiti na wengine washauri wa serikali zilizopita wa siku nyingi ambao wamekuja na ushauri wa jinsi shirika la ndege yaani ATCL linaweza kujikwamua kutoka kwenye mkwamo ulionao. Kwanza kabisa tukubaliane kuwa sio kila mchumi anaweza kuwa mshauri mahiri kuhusiana na AVIATION INDUSTRY, wachumi waliotoa maoni kuhusu kuboresha hili shirika ninaowafahamu ni wazee waliosoma Industrial Economics na Agricultural Econamics hapo UDSM enzi hizo za Ujamaa na sasa hivi wamechoka!! Ushauri wanaotoa ni kwamba ATCL na Precission Air ziwe merged for better performance. Ingawaje merging of two Airlines inaweza kuleta mafanikio lakini ni lazima ifanyike kwa umakini sana.
Hawa wataalam wetu wangejishuhulisha kidogo kuchambua historia ya ATCL wangegundua kuwa huko nyuma lilifanyika zoezi linalofanana na ushauri waoo kwa ATC kuwa na ubia / ushirikiano na South African Airways, zoezi lililoiletea hasara na madeni mengi shirika ambayo hadi leo hayajalipwa hata kuifanya ATCL isitumie route ya kwenda South Africa kwa kuogopa kuwa ndege zao zinaweza kukamatwa kwa kutolipa hayo madeni!! Hivyo basi wazo lolote la kushirikisha ATCL na shirika lingine la ndege lazima lifanywe kwa uchambuzi wa kina na uangalifu sana.
Nisingeshauri kama alivyoshauri mchumi mmoja, kuwa ATCL iungane na Precision Air kama suluhisho la matatizo. Kubwa katika sababu ya kupinga muungano huo ni kuwa Precission Air yenyewe iko taabani hivyo sidhani kama kuwaunganisha hawa wawili ambao wote wako taabani kunaweza kuleta afueni kwa ATCL!! ATC L inaweza kupata afueni iwapo tu inaweza kuwa na uhusiano na shirika lingine la ndege ambalo linafanya vizuri relatively under the current harsh covid-19 conditions kama vile QATAR AIRWAYS.
Hata hivyo ATCL imekuwa inapata hasara partly kwasababu ya shirika kuendeshwa bila weledi. Kama report ya CAG ilivyoainisha kuwa katika bodi ya WAKURUGENZI wa shirika hakuna hata mmoja kati ya wajumbe wanaotakiwa kuliongoza shirika aliyekuwa na ujuzi wa usafirishaji wa anga! Sasa kama hivyo ni kweli basi kuna umuhimu wa kuteua wakuruglenzi angalau mmoja mmoja wenye weledi wa Transport Economics, Finance, Marketing na hao ni kwa upande wa board lakini kwa upande wa Management ya ATCL , CEO aliyepo sasa ana uzoefu wa kutosha anachohitaji ni wasaidizi wenye uwezo na sio wale walioajiriwa kwa kuletwa na Waziri!!
Ukiwa na team ya Board na Management wenye weledi kinachohitajika zaidi ni kuhakikisha shirika haliingiliwi na wanasiasa katika kufanya shuhuri zake. Mfano mzuri kuhusu uingiliaji wa wanasiasa katika utendaji wao ni pale Rais alipolazimisha ATCL kufanya safari za Kwenda Mpanda ambako hakukuwa na wateja wa kutosha!!i Shirika liachiwe board na Management yake wafanye kazi yao halafu mwisho wa siku watawajibika kwa utendaji wao. Ama sivyo mwisho wa siku itakuwa vigumu shirika lisipofanya vizuri kuwawajibisha kwani maamuzi mabaya kibiashara yalitokana na viongozi wa serikali who happen to be politicians.
Sio Kweli kama watu wanavyosema kuwa ATCL hawakuwa na STRATEGIC PLAN/ BUSINESS PLAN, wanazo lakini tatizo ni kuingiliwa na wanasiasa katika shuhuri za uendeshaji!!