Tuwe waangalifu tunaotumia dawa ya kuondosha harufu ya kwapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363



Your deodorant could be full of dangerous chemicals. Think about it, you spray it all over you skin and then your body and blood absorb it... Stay organic, stay healthy. 99% of breast cancer tissue found to contain the common chemical found in many soaps and deodorants.
 
huitaji deodorant......oga vizuri kisha chukua kipande cha limao pitisha kwapani..no harufu

Kweli kabisa mi nina miaka mingi nimeshasahau hizo deodorant,pafyumu,powder na lotion mafuta ya baby johnson tu yananitosha
 
Binadamu bana, hivi watu wa zamani waliishi vipi? Wao walikuwa wana spray nini?
 
zamani watu walikua wanatumia magunzi ya mahindi ambayo hayana machemical yeyote pamoja na majani ya muarobaini by dr. wa kijiji.com yani kwikwi usicheze cheze!
 
Hayo madude wanajitia wasioujuwa udi ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…