Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jun 21, 2026 #1 Huu ndio ukweli nyakati zimeipita ccm ! Kwasasa haipendwi na haitakiwi na rais wasasa ndio kabisaaaa hasomi mchezo kwamba nayeye ni sehemu ya tatizo. Kuiponya Tanzania ni kuiondoa ccm basi.
Huu ndio ukweli nyakati zimeipita ccm ! Kwasasa haipendwi na haitakiwi na rais wasasa ndio kabisaaaa hasomi mchezo kwamba nayeye ni sehemu ya tatizo. Kuiponya Tanzania ni kuiondoa ccm basi.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Jun 21, 2026 #2 Usiku mwema
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,602 Reaction score 6,274 Jun 21, 2026 #3 Wakati mwingine kujilisha upepo siyo ishu, Ishu ni matokeo baada ya kujilisha huo upepo!
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Jun 21, 2026 Thread starter #4 Mambo yaliyoiharibia ccm na Samia akayafumbia macho; Utekaji Wizi wa kura uliokithiri Uonevu Kwa lisu.
Mambo yaliyoiharibia ccm na Samia akayafumbia macho; Utekaji Wizi wa kura uliokithiri Uonevu Kwa lisu.