.Unajua hao walimu wa diploma wanafundishwa na sisi walimu/wakufunzi wenya degree na hatujasoma hizo diploma, sasa sikuelewi sisi walimu wabovu tunaandaa vipi hao walimu wazuri wa diploma?tuwafunze maadili hali sisi hatuna?shule za binafsi hawapendi wenye degree ni kwa shule za kichovu, shule za private nyingi nzuri zinachukua walimu wenye degree,jaribu kuchunguza zaidi. Mwalimu kuwa mzuri ni Individual zaidi haitegemei degree au diploma.kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili
Ukitumia source moja inaleta shida kidogo, kwa sababu haya maneno mawili watu wanayatumia kama neno moja na ndicho alicho kifanya Fayor, he defined administration to mean management.
Management determines bothe means and ends of the organization while administration determines the ends of organization
Google, scientific management utaelewa na utajua kazi za management aisee.
Degree means u think world wide(university) ingekuwa diploma ndo kila k2 mcngekuwa mnaenda kuongeza elim et KUJIENDELEZA
hawa diploma wanatabu sana undo maana Matafia na uniform zenu.walim wa degree ni multipurpose.
nakubaliana na wewe kuwa haya maneno watu wanayatumia kama neno moja, yes! ila nakushauri usi-base kwa Henri Fayol peke yake, yeye aliangalia zaidi kanuni 14 za menejimenti na hakuongelea sana Utawala, japo nakushauri upitie na wanazuoni wengine wa Scientific Management i.e.Frederick W. Taylor,Frank and Lillian Gilbreth,Chester Barnard, Elton Mayo, etc usikie wanasemaje.
Ila tukirudi kwenye hoja Meneja/msimamizi yoyote anatakiwa kufuata kanuni za hao akina Fayol na wengine (niliokushauri uwapitie). Kwa maana ingine hao mameneja ambao ndio watekelezaji wa hizo Goals za taasisi, kampuni ama shule (wengi wao wanakuwa Line managers), wanatakiwa kuwa na skills za management na kuelewa hizo kanuni za hao wanazuoni wa Scientific Management, ili hali kwa definition ya Fayol kama ulivyoelezea "Management determines bothe means and ends of the organization while administration determines the ends of organization", ndio management determines means and end of organisation: kwa sababu walimu wa diploma ambao naamini wengi wao hawapo katika kiwango cha kutunga sera, utafutaji wa raslmali, ila wao ni watekelezaji wa sera, na watumiaji wa rasilimali kwa ajili ya kuhakikisha lengo ambalo lilipangwa na watunga sera "administrators" linafikiwa.
Administrators determine the end " kwa maana wao ndio watunga sera, wenye mtaji, wenye mipango yote ya taasisi, hivyo wasipojishughulisha na kufanikisha kuwepo kwa sera nzuri,mtaji/rasilimali,malengo n.k basi ujue "end ya hio taasisi itakuwa hatarini".
Hivyo namalizia kusema kuwa administration hufanywa na mtu wa juu kabisa kwenye taasisi husika wakati management hufanywa na mtu aliye chini ya administration, kwa maana hiyo naweza kusema kabisa kwa system yetu ilivyo ni walimu wachache sana wenye Diploma wanafanya administration isipokuwa wanafanya management wakati na administration inafanywa na walimu wengi sana wenye elimu ya kuanzia degree ama zaidi. Kwa hio sikubaliani kwamba walimu wa diploma wapo kwa ajili ya administration na wenye degree na zaidi wao wanafanya management, ila nakubaliana na wewe kuwa haya maneno huwa yanachanganywa, japo ki ukweli kabisa huwa ni vigumu wakati mwingine mtu kufanya management na wakati huo kufanya administration na hata kinyume chake, japo ni vitu viwili tofauti
Inakuaje anae determine means and ends of organization (management) akawa chini ya anae determine ends of organization (administration) peke yake?
I think either of us is mixing things.
wa diploma ni mzuri zaidi kuliko wa degree hilo nina ushahidi nalo mwaka jana walikuja walimu wa btp kutoka sekomu walikuwa mwaka wa 3, MUNGU wangu kuandaa hawajui kabsa walipokuja wakaguz wao ilibid tuwasaidie kuandaa vipindi na kuwaelekeza jinsi ya kutumia zana, walipokaguliwa walipewa big up.
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili
hicho mnachojadili ni upuuz mtupu kwa hao wanajifanya walioenda diploma wamekosa sifa za kuingia degree? mimi nilipata two nikaenda diploma na masela kibao wameenda university wana dvn three tena ya 14 hapo nani yupo juu?kuna watu hawaendi university kama sifa ila tatizo ni pesa na maisha ambayo wataenda kuishi chuo yatakuwaje na huna msaada wowote wa kifedha?halafu kuweni na akili wote mlienda chuo mumefundishwa na mwalim wa upe kusoma na kuandika na kujua kusoma leo unajifanya mjanja! mbona kuna watu hao wa diploma na certificate wana magari we wa digree yanakushinda hata baiskel?
Mwl aliyekufundisha utamzidije tena? uzur wa diploma upo wapi wa kumzidi mwl wake? ukisikia jamii inasema ualimu ni taaluma ya waliofeli inawazungumzia walimu wa diploma na certificate huko ndiko wanakoenda failures NUKTA
hicho mnachojadili ni upuuz mtupu kwa hao wanajifanya walioenda diploma wamekosa sifa za kuingia degree? mimi nilipata two nikaenda diploma na masela kibao wameenda university wana dvn three tena ya 14 hapo nani yupo juu?kuna watu hawaendi university kama sifa ila tatizo ni pesa na maisha ambayo wataenda kuishi chuo yatakuwaje na huna msaada wowote wa kifedha?halafu kuweni na akili wote mlienda chuo mumefundishwa na mwalim wa upe kusoma na kuandika na kujua kusoma leo unajifanya mjanja! mbona kuna watu hao wa diploma na certificate wana magari we wa digree yanakushinda hata baiskel?
Mosi, Naomba tuwalinganishe katika uwajibikaji.
Pili, nawafahamu watu wengi walioacha kusoma digrii kwa sababu ya matatizo ya kifamilia mfano binti mmoja alifiwa na wazazi wake akabaki na wadogo zake pekee akakatisha masomo ya chuo kikuu akajiunga na diploma wakati huo unasoma mwaka mmoja na mmoja unajifunza kwa vitendo na huku unalipwa ili awasaidie wadogo zake .
Tatu, wengine wanapanga wasome baadae digrii huku wana mshahara.
Nne, mmejiuliza kama wamefeli wanapata wapi sifa za kujiendeleza zaidi?
Tano,wasomi wa Tanzania wanavyozidi kusoma wanazidi kuwa wajinga badala ya kuelimika
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaani hapo mwishoni ndio umethibitisha ujinga wako Mr,kwaiyo shule ya msingi wote wana akil kuliko wewe?KAZI UNAYO MHESHIMIWA,KAMA DIP NDO MPO HIVO NAMSHUKURU MUNGU KIKOMBE KILINIEPUKA.
kwa kukusaidia katizame walio soma dip uone kama wote ni failure ,,nijuavyo mimi pamoja na kuwa na maksi za chini lakini sababu nyingine kubwa ziidi ya watu kukimbilia dip ni uchumi, kuendesha maisha chuo kikuu kama uchumi wako hauruhusu na umekosa mkopo ni kazi sana,lakini pia kama umesoma na unaelewa maana ya failure ninini, basi nadhani utakuwa umejua kuwa failure hawawez kuendelea na msomoyeyote yale.,,lakini pia honera sana wewe usiye kuwa failure na ukapata nafasi ya kusoma degree na leo unawaita wengine walio chin ya elimu yako kwa majina ya kejeli ,,kweli wewe ni msomi hasa..