Kwani walimu wa diploma huandaliwa na walimu wa level gani?
Hakijaeleweka kipi?
Diploma and certificate are administrators while degree holder is a manager, kunatofauti kubwa kati ya manager na mfanyakazi, ndio maana kuna mdau kasema, dip. Unasomea ualim, degree anasomea elimu, tofauti kubwa sana hapo.
Mi mwenyewe nilipitia monduli diploma. Aisee kuna tofauti kubwa. Japo sikufanya edu degree, ila nimeona kuwa diploma ipo juu sana kushinda edu degree
- Diploma full stop.
- tEACHING Methodology kiundani zaidi kuliko ngazi ya Degree
- Ngazi ya Diploma Huwa wanafundisha mpaka aina za nguo anazopaswa kuvaa mwalimu awe she au me - Kitu HAIBA YA MWALIMU
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!
Mkuu, sio kuwa hatuzitaki mbichi hizi. Mimi mwenyewe nina diploma in education ila kwa sasa Nina Bsc.Mathematics. ila huo ndo ukweliSizitaki mbichi hizi..! Polee, Kasome na master's diploma Ph Diploma ili uwe mzuri zaidi. Ujinga mtupu, huyo Diploma anafundishwa na Degree holder kumbuka. Afu next time anzisha mada zenye tija.
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.
Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)
Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)
Hakijaeleweka kipi?
Diploma and certificate are administrators while degree holder is a manager, kunatofauti kubwa kati ya manager na mfanyakazi, ndio maana kuna mdau kasema, dip. Unasomea ualim, degree anasomea elimu, tofauti kubwa sana hapo.
Diploma anasomea 'Ualimu'
Degree anasomea "Elimu"
kuna tofauti kati ya kusomea ualimu na kusomea Elimu! Sio wote wAnaosomea Elimu ni walimu! ndo maana vile vya diploma na certificate vinaitwa TTC-Teachers' Training Colleges!! Na hao wa diploma wanafundishwa na wenye degree, ila mleta mada uko biased na huenda pengine una diploma na umekosa qualifications za kusoma hyo degree! #nenda kasome acha kulalama hapa!
Mkuu kweli nina diploma na kutokana na nilivyoona uwezo wa wale degree holder nimeona sina haja ya kuchukua degree maana hakuna walichonizidi ! pia kuhusu sifa kuanzia za form 6 hadi matokeo yangu ya dip yananiruhusu kuchukua degree...sasa nifuate nini huko? kuongeza mshahara au? maana maujuzi...hahaha!
Ukihitimu au ukipewa?
Umeongea vema mkuu, kitu kingine mtu wa degree anaandaliwa kwaajili ya management, kufundisha ni kidogo sana wakati dip. Wao ni wafanya kazi.
Ukiona mkuu wa shule ana diploma basi jua ni experience imembeba na ni mzee, lakine wakuu wengi wa shule wana degree, na waraka wa elimu wa 1995 unasema wakuu wa taasisi zote lazima wawe na degree na kuendelea (haijalishi ni shule ya msingi au sekondari na taasisi zote za elimu)
Uwezo na ubora wa walimu wa degree hutegemea mambo mengi,
1: Chuo alichosoma mhusika
2: mtu binafsi.
Na sababu nyinginezo.
Suala la watu wa degree kukataliwa, inategemea na aina ya chuo, waajiri wengine huchagua aina ya vyuo wanavyo taka.
Kitu kingine ni suala la minimum cost=cheap labor. Kumlipa mtu wa degree ni kazi kuliko wa diploma-they are cheap to pay na hawana challenge sana kwenye management ( They are administrators-they only do what the management want)
Dah? Ni administrator na manager wa vitu gani? sasa hapo mwalimu anakuwa nani? I mean mwalimu anakuwa ni mwenye level gani ya elimu - Cheti, Diploma ama degree?