Wewe ndo umechanganya mambo, na kama hujui tofauti yao hata ukigoogle hutaelewa tofauti iliyopo kati ya manager na administrator.Wakubwa hapo kwenye red: nadhani mnachanganya mada ama mnachoongea na kumaanisha ni tofauti kabisa na wala hamkielewi na inawezekana kipo kinyume na maana yenu.
Cheap labor na wanajua mtu wa diploma utamtumia kadri utakavyo bila yeye kuhoji.Shule binafsi wanaepuka gharama kubwa ya kuwalipa walimu wa degree, maana s/binafsi ipo kwa ajili ya profits
Unahitaji elimu zaidi wewe, umeambiwa degree anasomea elimu na diploma anasomea ualimu, kitu kingine unanionesha kuwa hujui tofauti iliyopo kati ya administrator and manager, hapa ndipo tunapopishana. (Kwa lugha ya layman, administrator=mfanyakazi na Manager=bosi)
Hivi jamani manager na administrator nani mkubwa? Maana kwa elimu yangu ya mulugo type administrator ni mkubwa ki maamuzi kuliko menager sasa unaposema diploma ni administrator na degree ni manager napata shaka na elimu yangu pia na yako huenda kuna div 5 na div 4 wanarumbana! Hembu div 1 na 2 njooni mtusaidie
Wewe ndo umechanganya mambo, na kama hujui tofauti yao hata ukigoogle hutaelewa tofauti iliyopo kati ya manager na administrator.
Pitia vizuri notes zako.
sheria ya wizara ya elimu inatamka kuwa Mwl wa diploma anaandaliwa kufundisha form one na two na mwl wa degree anatakiwa afundishe kuanzia form three hadi diploma na anaweza kuwa Tutorial Assitance chuo kikuu, what is diploma by then!
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili
Shule binafsi wanaepuka gharama kubwa ya kuwalipa walimu wa degree, maana s/binafsi ipo kwa ajili ya profits
Ujinga mtupu,yani walimu wa vidiploma nao ni wakujadiliwa humu kweli?
Wanafanya necta kwa sababu serikali haiwaamini kuwa ni wazuri,wa degree wamewaamini kwa matokeo ya awali na suala la maadili ni la mtu mwenyewe yaani haihitaji kufundishwa zaidi yaliyoko ndani yake.
Dgree mnajitahidi kuvutia kwenu,,lakini ukweli upo pale pale mwl wa degree ni too low kwa diploma ,,kuanzia kiutendaji,ufanisi wa ufundishaji na kila kitu,, nafikiri nlicho kiona hapa nikwamba watu waitukuza degree kimatamshi wakati ni vilaza wa kutupa?nenda na hiyo degree yako kafanye mtihani wa diploma uone kama hujatoka na sup zote! Ila kwa alie pitia dip then akaenda degree huyo kweli respect kwake .lakini sio hawa vikojozi wa fm 6 wanao vulia chupi ma prof ili wapate GPA ,,ni sufuri, tupu! Hata utendaji wao ni bure kanibisa, na wengine wajaribu kujenga hoja eti kuajiri mwl wa degree gharama ,,ghara gani unayo ongelea hapa?? Kwa wale wanao own shule wanajua utofauti uliopo kati ya degree na diploma kiutendaji sio kutukuza sifa tu kuwa na degree halafu kichwani huna kitu.
kuelekea ajira mpya za walimu hebu tuwe wakweli wanaJF ni mwalimu yupi anaandaliwa vizuri kiuwezo na kimaadili pamoja na mbinu za kufundisha kati ya diploma na degree? ikumbukwe kuwa mwalimu wa diploma hufanya mtihani wa mwisho chini ya necta na akifeli somo moja (SUP) Haajiriwi wakati yule wa chuo kikuu husoma kwa semister..nina mifano ya watu kadhaa ambao walifeli diploma wakaamua kwenda chuo kikuu leo hii wana degree! pia hata shule nyingi za binafsi hawapendi wenye degree unless huyo mtu kapitia diploma kwanza! sitasema mengi najua kuna watu watanielewa tofauti....hata hivyo sina nia mbaya karibuni tujadili
mwalimu aliye pita dip huwa ni mzuri kwakua amefundishwa mbinu za kufundishia lakini hawa ndugu zangu wa degree hakuna kitu kabisa, hasa sasa hivi na hizi degree za chupi ndio basi tena, kiukweli mwalimu alieanza na deploma alafu akajiendeleza huyo ni mwalimu bora
Naona umetoa matusi tu, wanaovua chupi umewaona au ndo stori za mtaani?
Vp kuhusu wanaume nao walikuwa wanatoa chupi kwa maprof?
Acha fikra za mztaani, grow up and give facts.