bshaneni woote af mkimaliza nendeni NMB,CRDB,EQUITY,DTB,NBC na kwngneko mkaangalie MISHAHARA YENU.diploma holder<health proffesional>TGTH 780000 afu we tcha na degree yako unaetoka povu humu jf et cjui kp bora degree na diploma TGTS 480000
Dogo inferiority complex itakuharibia maisha shauri yako.
wewe hukufaulu vizuri,mbona tokea mwanzo tunawaambia diploma holder yyte anayejiamini alifaulu vzr aweke link ya matokeo yake hapa,either ulikosa mkopo or hukuwa na vigezo kuingia chuo fullstopkuweka sawa mimi nimefaulu vizuri form six na diploma . nimemaliza chuo mwaka jana nipo nasubiri ajira hapa
hawa watu wenye diploma na certificate ndio wanatuangusha sana waalimu mi naona walimu wa degree tuanzishe umoja wetu
I meant kichwani wako vizuri, kama ni material most of them wako deephayo mambo mengi ni kama yepi
Uwapunguze wewe kama nani? Nenda kasome acha kujifariji na maneno ya kiswahil
Nashukuru kwa maelezo yako, ni mazuri kiasi tatizo hizo definition are not from a credited scholar (No source-who said that)mkuu hebu jaribu kupitia hapa au google ili uone tofauti ya Management na administration:
Definition: Management: Art of getting things done through others by directing their efforts towards achievement of pre-determined goals.
Administration: Formulation of broad objectives, plans & policies.
Nature: Management: executing function, doing function.
Administration: decision-making function, thinking function.
Scope: Management: Decisions within the framework set by the administration.
Administration: Major decisions of an enterprise as a whole.
Level of authority: Management: Middle level activity Administration: Top level activity.
Status: Management: Group of managerial personnel who use their specialized knowledge to fulfill the objectives of an enterprise.
Administration: Consists of owners who invest capital in and receive profits from an enterprise.
Usage: Management: Used in business enterprises.
Administration: Popular with government, military, educational, and religious organizations.
Influence: Management: Decisions are influenced by the values, opinions, beliefs and decisions of the managers.
Administration: Influenced by public opinion, government policies, customs etc.
Main functions: Management: Motivating and controlling Administration: Planning and organizing.
Abilities: Management: Handles the employees.
Administration: Handles the business aspects such as finance.
Na sijui kama ulimaanisha hivi, mie niliona umemaanisha tofauti na umekuwa general na kwa nature ya mfumo wetu utekelezaji wetu unaweza kuwa kinyume kabisa, kwa maelezo yako ya awali nani anastahili kuwa administrator ama Manager (mwenye diploma ama mwenye degree):
Kula bonge la "like",sio siri hawa walimu wa diploma&certificate wengi wao ni MIZIGO.
Mkitangaza kudai haki za waalimu,wao ndyo wa kwanza kurudi nyuma&ni wasaliti nambari 1.
Ni heri kuwe&chombo ama chama cha waalimu wenye degree kivyao.
Wewe umemamliza Form Six halafu umekwenda Chuoni kufundishwa namna ya kufundisha. Jee, unadhani elimu uliyonayo inatosha kumfundisha mwanafunzi wa Form Six? Siyo unataka kuturidisha kwenye ualimu wa UPE?
Unasema elimu yako uliyonayo ya F6 na Diploma inatosha, hivyo ndivyo unawaeleza wanafunzi wako? Bado huamini kuwa elimu haina mwisho?
Hoja hapa ni "taaluma ya kufundisha" ,ngazi ya diploma zaidi ni "teaching methodology" wakati ngazi ya degree zaidi ni "content" . HITIMISHO: waweza kuwa na content na ukashindwa kuito kwa jinsi ipasavyo.
Pia waweza kuwa na methodology lakini content kichwani hakuna mfano mwalimu wa grade A mwenye methodology nyingi za kutosha anaweza kufundisha Form four?
Mleta mada anaonyesha kabisa anajibu ndio maana anaanza na "tuwe wa kweli" Kwangu mimi hivi ni vitu wili tofauti kabisa Diploma na Degree. Mimi nilisoma diploma kisha degree ya kwanza na ya pili tayari; sasa natafuta ya tatu PhD; Japo sikusomea ualimu ila nahisi mambo mengi yanashabihiana. Unaposoma diploma unaandaliwa kwenda kufanya kazi husika "unakua skills oriented" Ndio maana kule hamna longolongo za managerial issues, entrepreneurial courses. Ila kwnye degree mwanfunzi anandaliwa kuutawala ulimwengu kwa mapana yake ndio maana kuna masomo ya siasa "Development Studies" hata kama huchukui political science. Communication skills,Business and entrepreneurial courses etc. Hivyo unapowaleta wanafunzi wawili mmoja ana degree na mwingine diploma katika kazi, lazima uone tofauti. Mwanzo mwenye diploma ataonekana "jembe" kwani alisomea hiyo kazi tangia mwanzo wa masomo yake ila as time goes huyu wa degree anaanza kumpita wa diploma kwani anaanza kupata uzoefu na anaanza kuweza kutawala mazingira ya kazi katika nyanja mbalimbali kwanza huyu ni mbunifu, visionary, kujiamini, etc (kwani yote haya alishayapata chuoni katika course mbalimbali). Ukitaka kuamini hilo hudhuria mhadhara unaoandaliwa na wawili hawa utaona tofauti zao ktk kujieleza. Degree inamfanya mwanafunzi awe flexible anaweza ku fit katk kazi mbalimbali, kwakukuhakikishia hilo angalia mabank mengi yanaajiri graduates wa aina tofauti tofauti hata auditing firm kama water-house coopers wanaajiri any graduate ila wanafunza kazi zao na baada ya muda wanakuwa experts kaitka filed zao. Wenye diploma ni wazuri sana katika kile walichosoma tu na ulimwengu wa sassa unahitaji mtu uwe na uelewa mpna ili uweze kuyatawala mzairingira ya kazi, kifamilia, kisiasa n.k. Yangu nihayo kwa leo