Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

kumbuka unalinganisha ngazi mbili na uellewa tofauti ,kwanini usinishawishi kuwa Grade A wapo vizuri zaidi ya Dip au kwasababu DIP n DEG wanafundisha shule moja .Unachoongea ni probability ya kumpata graduate asiyejitambua ukamlinganisha na Dip anayejitambua,hata mie nina nifano hai kuna mwalimu wa Dip anafundisha phy uwezo wake ni kufundisha Form 1 na 2 ,kidato c ha tatu na nne hata kwa mtutu wa AK 47 haingii na hajawahi kuingia na wanafunzi hawajawahi kusoma na mwalimu tna kutoka Monduli yupo
 
Umeeleza vizuri sana maana wakati napitia uzi kila mstari una uzito wake.
 
Ukweli ni kwamba Degree wanazidiwa hata na Ualimu daraja la III ktk kuwapanga kuvagaa kizazi. Hivyo tu wala hata usitishiwe na Kiingereza anachoongea........... Ukweli ndo huo.
 

Wengi wanaoenda kusoma degree wanataka Ongezeko la mshahara turn na si chochote.
 

maadili???? ubora??? hao wa diploma wanafundishwa na watu wa level gani??? umelifikilia hilo??
 
utakuwa na diploma wewe sio bure

Huna ulijualo wewe kaa kimya na ulimbuken wako .kwa taarifa nlimaliza diploma 1989 hadi kufikia sasa nataraji kurudi tanzania nikiwa na nimesha maliza Phd huku niliko ,ninacho kwambia sijakitoa kwenye riwaya za shigongo nlisha sema ,,nina experience ya kutosha kuhusu hao walimu sababu nimeajili hao walimu tajwa katika shule yangu,usiwe mkurupukaji wewe kijana think big.!
 
Umeeleza vizuri sana maana wakati napitia uzi kila mstari una uzito wake.

HATA diploma wanasoma hizo course nyingine kama
comm' skill, dev' studies psychology n.k so what?
 
I meant kichwani wako vizuri, kama ni material most of them wako deep

wewe utakuwa na matatizo kwa kichwa, diploma wanaenda ambao hawajaqualify university au wenye ufaulu mdogo sasa wapo Vizuri kichwani kivipi?
 
#kirobotokiroboto wengi wenu mnawapenda diploma kwa7bu ni cheap labour pia hawana CRITICS kabisa wengi wao ni ndio mzee nina experience ktk hilo kwan nimeshafundisha private school about a year.
 
Yote tisa kumi wengi wetu tunasoma sana ili tu kuongeza unga lakini ukweli unabakia pale pale, Mabilionea wengi duniani hivi sana hawana hata hivyo mnavyojisifia humu ndani na bado wanawaajiri wasomi na kuwatumikisha kadri wapendavyo.
 
Umejitahidi kuleta source ila bado haujaondoa hoja ya msingi, kama uta-base kwa Henri Fayol pekee na hizo kanuni za Manejimenti na bila kuelezea tofauti ya Menejimenti na Utawala, basi utakuwa unapotosha, pia nakushauri ungalie na Levels of Management ndio utajua nani anastahili kuwa juu (kwa maana ya mtawala na meneja). Pia utofautishe kwamba jukumu la utawala anaweza fanya mtu yoyote hata kama hana elimu ama ana elimu ya chini "According to H. Fayor.
ADMINISTRATION- This is the process of acquiring and allocating resources for the achievement of organizational goals" ila mwenye nafasi hii ana mamlaka makubwa katika maamuzi ya taasisi - yeye ndiye anatafuta resources na anazi - allocate, while manager is a person with more skills and sometimes a specialised one, a line manager - mtendaji zaidi, hana maamuzi ya sera, yeye anasimamia tu,watu hawa ni kama wakuu wa idara, walimu wa darasa, etc
 

sidhani km upo sahihi. km ulipata E mbili ukaenda kuchukua diploma sasa uwo uzuri wako upo wapi? au kwenye kuandaa scheme of work?
 
HATA diploma wanasoma hizo course nyingine kama
comm' skill, dev' studies psychology n.k so what?

Sisi wenye diploma tuko juu kwa kila kitu! Hivi ukitoka diploma unachukua certificate au masters?
 

Ukitumia source moja inaleta shida kidogo, kwa sababu haya maneno mawili watu wanayatumia kama neno moja na ndicho alicho kifanya Fayor, he defined administration to mean management.
Management determines bothe means and ends of the organization while administration determines the ends of organization
Google, scientific management utaelewa na utajua kazi za management aisee.
 
sidhani km upo sahihi. km ulipata E mbili ukaenda kuchukua diploma sasa uwo uzuri wako upo wapi? au kwenye kuandaa scheme of work?

hv unajuwa huwa ni kwa nini Mwl. aliyeanzia ngazi ya cheti na kujiendeleza huwa anakuwa na probability kubwa ya kupata opportunities zaidi ya wewe uliyetokea kidato cha 6 na kuwahi degree !?, kama hulijui hilo huwa linatokana na nini anza kufahamu kuwa sifa huwa zinajijenga kutokana na mazingiza ndipo ukomavu huja na pia tambua kuwa utaalamu na uzoefu ni zaidi ya taaluma. .. sina hakika kama ulimuelewa kirobotokiroboto !
 
By Philipo: Ebu Wana Jf Tufikilie Kikina Zaidi Si Tunachangia Hoja Kwa Kuwa Mmeiona Bila Kutafakali Kumbukeni Kwenye Msafala Wa Mamba Kenge Hawakosi Popote,narudi Kwenye Mada Degree Ni Elimu Ya Juu Ina Mashiko Kidunia Course Zinazofundishwa Ni Namna Ya Kutawala Dunia,naona Wengi Tunazungumzia Kuhusu Uchapakazi,uwajibikaji,nidhamu Nk. Kumbuka Kama Ujajifunza Uwajibikaji,nidhamu Na Kuchapa Kazi Kutoka Kwa Wazazi Na Mashuleni Kutoka Vidudu Mpaka Umemaliza 4m Six Ujue Diploma Na Degree Havichangii Ubora Wako Ila Ni Jitihada Za Mtu Mwenyewe.Diploma Kikubwa Wanafundisha Namna Ya Kufanya Kazi(to Be Cheap Labour) Kila Kitu Ni Ndio Pasipo Kuhoji Sasa Kule Kupelekeshwa Bila Kujitambua Wao Wanaona Wanachapa Kazi Weka Kichwani Kwamba Kuwajibika Au Kutowajibika Ni Uamuzi Wa Mtu Kwa Kusema Hivyo Diploma Anafanana Na Yule Wa Degree Asiyejitambua Lakini Mwenye Degree Yake Na Anajitambua, Diploma Hana Lolote Acha Kupelekeshwa Jitambuwe.Degree Mpango Mzima Wanaopinga Hawajielewi Utamzidi Vipi Babako Kwa Knowledge.
 
wewe utakuwa na matatizo kwa kichwa, diploma wanaenda ambao hawajaqualify university au wenye ufaulu mdogo sasa wapo Vizuri kichwani kivipi?
Umeambiwa kupata div 1 ndo kipimo cha kuwa na akili?mxuuuuuuuu
 
Umeambiwa kupata div 1 ndo kipimo cha kuwa na akili?mxuuuuuuuu

Haha hahaaa cheki huyu!!! kwan mfumo we2 wa elimu unapimaje wenye akili? bas alyepata div5 ndiye mwenye akili? unakoment nzur MMU huku unachemka men!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…