Naungana na wewe kabisa hivi vi fm6 haviwezi kulitambua hilo sababu havijui hata nini kinafundishwa diploma vimekalia ushabiki kwa kushabikia bi degree vyao hewa visivyo kuwa hata na ubora,, mwl wa degree aliye pitia diploma ni mzuri zaid lakini kwa huyu wa fm 6 + degree ni matatizo matupu hata hapa shuleni kwangu nimeajiri hao walimu wenye sifa zote wenye dip na wenye degree kutoka fm6 na mwenye degree kutoka diploma ,,wanatofauti kubwa sana hawa walimu wangu wengi ambao ni fm 6 to degree ndio wanao lalamikiwa sana na watoto hapa shulen hawana weledi,kufundisha hawajui hata ukiwapa utawala wanakiuka kanuni,nimebadilisha utaratibu na nawapunguza taratibu hawa fm6 to degree.
mmmh,umeamua kuwatukana akina dada z not fair,kuna watu wapo vizur kichwan kuliko ww na p.u.m.b,u zako,take care mdau,
tujadili anachosema mtoa mada hapa na naamini hapa wengi ni walim,stara itumike bhana
Mnawasifia wenye diploma ili wasisome au? Acheni kudumaza elimu,degree ndio ishu.
Are you serious?Ukweli ni kwamba Degree wanazidiwa hata na Ualimu daraja la III ktk kuwapanga kuvagaa kizazi. Hivyo tu wala hata usitishiwe na Kiingereza anachoongea........... Ukweli ndo huo.
Haha hahaaa cheki huyu!!! kwan mfumo we2 wa elimu unapimaje wenye akili? bas alyepata div5 ndiye mwenye akili? unakoment nzur MMU huku unachemka men!
Sikia wewe kiazi, Mimi ni mwalimu mwenye degree sijapitia diploma ila kwa hawa walimu wenzangu wenye diploma wapo vizuri kuzidi sisi wenye degree. walimu wa dip washaandaliwa psychologically kuwa walimu achana na sie tulioopt education ilI tupate mkopo hata maadili ya ualimu hatuna.
walimu wa degree hapa mwenzenu katoboa siri!! hata hili mtahitaji kugoogle? ukweli ubaki kuwa ukweli hata kama unauma!!
walimu wa degree hapa mwenzenu katoboa siri!! hata hili mtahitaji kugoogle? ukweli ubaki kuwa ukweli hata kama unauma!!
Hakuna cha kuumiza hapo ukweli ndo huo :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: Diploma teachers.....
wa diploma ni mzuri zaidi kuliko wa degree hilo nina ushahidi nalo mwaka jana walikuja walimu wa btp kutoka sekomu walikuwa mwaka wa 3, MUNGU wangu kuandaa hawajui kabsa walipokuja wakaguz wao ilibid tuwasaidie kuandaa vipindi na kuwaelekeza jinsi ya kutumia zana, walipokaguliwa walipewa big up.
Hee tushaanza kukoseana adabu wengne ni viazi ok, whatever, umesikia wewe bibi #Evelyn mwenyewe nimeshafanya field TTC diploma 2010, content yao ni o-level na a-level lkn ni watupu i was teachng them maths bt it was as if am teachng a 4m 1 student..
HIV DIPLOMA YA UALIM ITATAMBULIKA KIMATAIFA? Msamehe hajui na hajafanya research,c unajua hakunag
Kwa mfumo rasmi, aliyeenda kusoma diploma ni wazi kuwa hakuwa na sifa za kusoma degree (points za form 6 hazikutosha)... Sasa mleta mada inaonekana form 6 points hazikutosha ndo maana ukaenda diploma, sasa huko kwenye diploma pia umedunda sasa kilichobaki ni kujifariji tu hapa! Ndo maisha lakini, wote hatuwezikuwa na degree bana!