ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hili Swali Lipeleke "Uso Kitabu" Kule!
Kwani huwezi kuwaelezea wanamuziki wa Bongo Fleva bila kumtaja Ali Kiba? Hapa Kiba anaingiaje? Inaonekana una ugonjwa wa Kibaphobia...Asley kaimba - Angekuona, Likizo, Mhudumu,Baby, Nibebe,Natamba, Pusha, nyaku nyaku. Totoa,
Harmonize - Aiyola, Bado, Niambie, Sina, Kwangwaru, Atarudi, DM chick, Happy birthday, Matatizo
Hawa wote ni wakali kuliko Alikiba. Je kati ya hawa wawilo nani mkali kupita mwenzie
Kwani huwezi kuwaelezea wanamuziki wa Bongo Fleva bila kumtaja Ali Kiba? Hapa Kiba anaingiaje? Inaonekana una ugonjwa wa Kibaphobia...
Ha ha hii sio post yenye attitude ya mtu mwenye degree mbili.unanikosea heshima, mtu kama mimi nina degree mbili kuonesha nasaport bongo fleva imekuwa kosa. Nina uhakika nimekuzidi maendeleo tembo we