klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
nawahi soccer kwanza, likimaliza soka saa kama kumi na moja za uswahilini nitalejea na nitahakikisha na wewe unanidunda japo kidogo.Hehehe wala sijaenda ofutopiki!Nimeonyesha wapigwaji wanavyokua nje ya ulingo! Mmh hata sijui mnaongelea nini kule!Tangulia nikufuate basi!
nawahi soccer kwanza, likimaliza soka saa kama kumi na moja za uswahilini nitalejea na nitahakikisha na wewe unanidunda japo kidogo.
Ukila kichapo ukashindwa kuvumilia unamwaga mbio tu.... :hatari:
...kina dada nadhani mpaka sasa mmejibiwa vizuri tu na wachangiaji waliotangulia.
Mwanaume hashitaki! Haimo kwenye katiba yetu kama alivyosema Klorokwini.
Unavumilia tu, yakishindikana basi, ..you call it a day!
Sio kuitisha Press Conference kama wenzetu wa KQ.
...si unamuona huyo jamaa alivyomvumilivu? polisi wamepita wala hawakujua anachukua kipondo!
Duh umenichekesha sana kumbe unakulaga kipondo??
Pole
...ngoja niwa beep kina MTM, BAK, Aspirin, Klorokwini, Teamo na wengineo waje watoe kauzoefu hapa.
Naamini watajielezea kwa ufasaha zaidi wapi tupelekapo haya malalamiko.
'Fingers Crossed,' I hope none will mention Nyumba ndogo!
Sasa DA unataka nikila kichapo niwaambie.... ndo maana tunasema kofi la mpenzi haliumi ha ha haaaaa:lol:
Hapo kwenye nyekundu ndipo malalamiko hupelekwa ila - HAWASEMI KAMA WANAPIGWA! HUSEMA KUWA WAKE ZAO SI LOLOTE SI CHOCHOTE! HAHAHAHA
MBU bisheni!
Mkuu mbu huyu jamaa alikuwa ashatia ulabu wa kutosha ndo maana kachapwa kama kuku :lol:
Sasa DA unataka nikila kichapo niwaambie.... ndo maana tunasema kofi la mpenzi haliumi ha ha haaaaa:lol:
Haya mambo ya kubamizana mimi wala siyafagilii kabisa iwe anayebamizwa awe ni mama/baba. Kama mmehitilafiana kaeni chni muongee matatizo yenu na kutafuta namna ya kuyatatua siyo kupigana na kuongeza chuki katika ndoa/mahusiano yenu na si ajabu hata kutoana ngeu au kupeana ukilema.
YouTube - P-Square Feat. J Martins - E No Easy
...kina dada nadhani mpaka sasa mmejibiwa vizuri tu na wachangiaji waliotangulia.
Mwanaume hashitaki! Haimo kwenye katiba yetu kama alivyosema Klorokwini.
Unavumilia tu, yakishindikana basi, ..you call it a day!
Sio kuitisha Press Conference kama wenzetu wa KQ.
...si unamuona huyo jamaa alivyomvumilivu? polisi wamepita wala hawakujua anachukua kipondo!
gud moning fellow tablet.
hapo red sio aibu tu bali hata mungu ametuita vichwa vya familia ili ikibidi turushe vichwa. sasa kichwa inakuwaje kiwekwe kibano na shingo bana. kwa ufupi mwanaume ukitwangwa na mwanamke inabidi ukafungue duka la kuuza kanga tu hakuna shuhuli nyengine itakayokufaa.
Hata mini wakati naiangalia hiyo clip nikawaza hivyo hivyo.Mbaya kabisa ni pale mmnatoana mangeu mbele ya watoto
ni kweli mbu unalosema nafikiri wanaume wengi wana aibu kueleza wamepigwa/wamedhalilishwa na wake zao lakini kuna wanaume wanashuhudia joto ya jiwe na si utani.
ivi mbu matatizo yenu huwa mnayapeleka wapi?