johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanza nawapongeza CHADEMA kwa kuwatendea haki Wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama.
Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji mzuri wa kutunisha mfuko wa ruzuku.
Tatu na mwisho CHADEMA HQ msiwasikilixe hawa makamanda wanaopiga kelele mitandaoni ilhali hawakichangii chama kwa namna yoyote ile na hata mkiitisha maandamano wanajificha nyuma ya kompyuta.
Hongereni chama kikuu cha upinzani.
Maendeleo hayana vyama!