johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa miaka zaidi ya 25 sasa Chadema inaendeshwa kwa ruzuku ya serikali!Chadema haitegemei ruzuku kutoka CCM
Kwani chama tawala wanajali nini?Ukiona watu wako tayari kuua ilimradi kuendelea kutawala basi jua matumbo ndio yako mbele!Bongo hamna upinzani....
Kila mtu anacheki Tumbo lake, full stop[emoji41]
Ila siasa bongo yataka moyo kuna watu wanajiuliza wataweka wapi sura zao kwa hili wanalolishuhudia
Mbona hatuoni watu wakifa ovyo au na wew wale wale tu?? Ukileta vurugu na ukaambiwa tii sheria na hutaki kutii utauliwa tu...full stop[emoji41]Kwani chama tawala wanajali nini?Ukiona watu wako tayari kuua ilimradi kuendelea kutawala basi jua matumbo ndio yako mbele!
Inategemea ruzuku kutoka serikaliniChadema haitegemei ruzuku kutoka CCM
Hivi CHADEMA kuingia bungeni nyinyi CCM mnafaidikaje?Kwanza nawapongeza Chadema kwa kuwatendea haki wanawake wa Tanzania kwa sababu viti vile ni mali yao siyo ya chama.
Pili shughuli za uendeshaji wa chama zinahitaji fedha na wabunge 19 ni mtaji mzuri wa kutunisha mfuko wa ruzuku.
Tatu na mwisho Chadema HQ msiwasikilixe hawa makamanda wanaopiga kelele mitandaoni ilhali hawakichangii chama kwa namna yoyote ile na hata mkiitisha maandamano wanajificha nyuma ya kompyuta.
Hongereni chama kikuu cha upinzani.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema haitegemei ruzuku kutoka CCM
Huo ndio ukweli watu hawataki kuusikiaBongo hamna upinzani....
Kila mtu anacheki Tumbo lake, full stop[emoji41]
Ndio muone matumbo yenu yanawafanya muone hata kuua ni jambo la kawaida!Mbona hatuoni watu wakifa ovyo au na wew wale wale tu?? Ukileta vurugu na ukaambiwa tii sheria na hutaki kutii utauliwa tu...full stop[emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sitaki kusikia tena hiki chama.
Kuanzia leo
1.sitakuwa na chama.
2.sipigi kura, mpaka ipatikane katiba mpya na tume huru.
Chadema mmenipa hasira isiyomithilika.
Serekali yenyewe inajiendesha kwa kutegemea kodi za wananchi iweje leo serekali ambayo inajiendesha kwa kutegemea kodi za wananchi itoe ruzuku kwa CHADEMA badala ya wananchi ambao ndio wenye pesa?.Kwa miaka zaidi ya 25 sasa Chadema inaendeshwa kwa ruzuku ya serikali!
Hahahaaaa......!Ila inategemea kupiga mizinga ya jerojero mikutanoni?