Tuwe Wakweli: Kama Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu wasingeenda Bungeni ruzuku ingepungua sana chama kingeendeshwaje?

Chadema walifanya mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea wa viti maalumu?

Kwa kawaida huwa wanatumia utaratibu gani?
 
Kwa nini haijalishi wamepatikanaje?Kwani hawawezi kupatikana kwa njia haramu na ambazo ziko nje ya kanuni pamoja na sheria kitu ambacho ni cha kujali?
Kama ni njia haramu zitafanyika ndani ya chama ikiwemo kupeleka mahawara na madada lakini hiyo NEC haiwahusu!
 
Kama ni njia haramu zitafanyika ndani ya chama ikiwemo kupeleka mahawara na madada lakini hiyo NEC haiwahusu!
Unaelewa kuwa sheria inamnyima haki mwenyekiti wa NEC kupokea jina la viti maalum la mtu ambae yupo jela?ilikuwaje NEC wakapokea jina na Nusrat ambae alikuwa jela?
 
Unaelewa kuwa sheria inamnyima haki mwenyekiti wa NEC kupokea jina la viti maalum la mtu ambae yupo jela?ilikuwaje NEC wakapokea jina na Nusrat ambae alikuwa jela?
Kuna tofauti kati ya kuwa Jela na kuwa mahabusu ( rumande)!
 
Kuna tofauti kati ya kuwa Jela na kuwa mahabusu ( rumande)!
Vyote sheria inakataza.Huwezi kupeleka NEC jina la mtu ambae yupo mahabusu tena mtu huyo ana kesi ambayo haina dhamana.Utakuwa una akili timamu kupeleka jina NEC la mtu ambae yupo mahabusu na ambae kesi yake haina dhamana?
 
Vyote sheria inakataza.Huwezi kupeleka NEC jina la mtu ambae yupo mahabusu tena mtu huyo ana kesi ambayo haina dhamana.Utakuwa una akili timamu kupeleka jina NEC la mtu ambae yupo mahabusu ambae kesi yake haina dhamana?
Katiba ya nchi inasema mtu yoyote atahesabiwa kuwa hana hatia hadi pale mahakama itakapomuhukumu.

Henje alihukumiwa lini?
 
Katiba ya nchi inasema mtu yoyote atahesabiwa kuwa hana hatia hadi pale mahakama itakapomuhukumu.

Henje alihukumiwa lini?
Unachoongea ni sahihi kabisa lakini sheria inakataza kupeleka NEC jina la mtu ambae yupo mahabusu kwa kesi ambayo haina dhamana kwa sababu kwa namna yoyote ile hakuna jinsi mtu huyo anaweza kutoka mahabusu na kwenda kutumikia wananchi bungeni kwa sababu kesi yake haina dhamana.Hiyo ndiyo logic nyuma ya hiyo sheria.
 
Navyofahamu ruzuku inatolewa kwa idadi ya wabunge wa majimbo. Labda kama kila mbunge viti maalum wakubaliane kutoa mchango kusaidia chama. Ukweli chadema huenda wakawa malofa wa kipato.😂😂
 
Nawe ukikosa kazi utahamia mitaa ya Kinondoni au Ohio?
 
Wewe mnyasa uko manzese uwanja wa fisi!
Jibu swali, uliingia JF ukijijua na wewe ni Great Thinker sasa tangu lini mnyasa akawa uwanja wa fisi, niko Masaki nakata michongoma kwa wazungu ila siku ukinihitaji tukatambike nijulishe.
 
Hahaha..yawezekana, Hahahaha ila ukweli wauma sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…