JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
Vizuri, kwahiyo haujui kanuni au misingi ya Ujamaa wa Mwalimu kwakuwa haukuusoma darasani?Mimi ujamaa wa Nyerere sikuusoma darasani nimeusoma maishani kwa vitendo. Isipokuwa ujamaa niliousoma nimeusoma Nchi moja ya Kikomunisti yaani Marxism huko Ulaya
Sasa Kama ni uongo na wewe ni msomi ungalivitafuta kwanza vitabu vya Peter Smith na Sivallon ukavisoma mwenyeweSimtetei Mwalimu, nipo hapa kuhakikisha watu hawatumii ukosefu wa Data kupotosha wengine.
Niamini, niko tayari kubadili msimamo wangu endapo utathibitisha madai yako kwa ushahidi wa kuaminika.
Vizuri, kwahiyo haujui kanuni au misingi ya Ujamaa wa Mwalimu kwakuwa haukuusoma darasani?
Kama hautojali waweza kututajia ni ujamaa wa nchi gani huko Ulaya uliousoma?
Mkuu hoja za bwa Smith si zimeelezwa na Imani Petro?Sasa Kama ni uongo na wewe ni msomi ungalivitafuta kwanza vitabu vya Peter Smith na Sivallon ukavisoma mwenyewe
Ila wazungu wana mambo mengi sana sijuwagi kwa Nn wanapenda kutembelea Zanzibar kwa kiwango hicho Labda mi sijui ukiondoa mahoteli ya fukwe zao kuna nini zaidiRasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
Hukunijibu swali langu mkuu, niliuliza unaijua misingi/kanuni za Ujamaa wa mwalimu?Soma vizuri nimekuandikia kitu gani
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.
Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.
JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Mkuu hoja za bwa Smith si zimeelezwa na Imani Petro?
Sina shaka na ninaamini uhuru wao kusema wanachotaka.
Ninachotaka toka kwako ni tufikiri kitunduifu (critically) tusiyachukue maneno ya Smith na wenzie kuwa ni kweli tupu.
Ninataka tuyapime, na hatuwezi pima kama hatuna data za upande wa pili zinazojaribu kuthibitisha vinginevyo mkuu.
Tupate data za pande zote kisha ndiyo tuamini ipi kweli ipi uongo.
Kuwa na data za upande mmoja na kuzichukua kama zilivyo na kuhitimisha ni uzushi katika ‘reasoning’.
Kama hukuridhika na majibu ni choice yako mwenyeweHukunijibu swali langu mkuu, niliuliza unaijua misingi/kanuni za Ujamaa wa mwalimu?
Wewe ukasema kuwa haukuusoma darasani bali kwa vitendo.
Majibu yako hayaendani na swali langu. Hivyo ikanilazimu kua ‘assume’ kuwa huujui, lakini kabla ya kufanya hivyo nikakuuliza kama unamaanisha huujui au unamaanshaje.
Ungenijibu kwanza tupate mtiririko mzuri wa mawazo yako.
Japo sio muumini wa huu muungano wa kitapeli, lakini Nyerere aliupiga vita uislamu vipi, wakati hiyo Zanzibar muda wote wa utawala wake hadi sasa, 98%+ ni waisilamu? Tafuta sababu yenye mashiko na sio huu utoto ulioongea hapa.Nyerere ndiye aliyevamia na kuuwa watu kwa maelfu. Lengo ni kuupiga vita uislamu. Hii si siri ushahidi upo
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.
Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.
JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika — Mwalimu Julius K. NyerereJapo sio muumini wa huu muungano wa kitapeli, lakini Nyerere aliupiga vita uislamu vipi, wakati hiyo Zanzibar muda wote wa utawala wake hadi sasa, 98%+ ni waisilamu? Tafuta sababu yenye mashiko na sio huu utoto ulioongea hapa.
[emoji817] ndio chanzo Cha matatizo tuliyonayo.Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.
Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.
JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Ni kwa sababu njia za kufika Zanzibar ni mbili tuHivi unajua Kuanzia mwaka jana airport ya Zanzibar ndiyo.inapokea wagenii wengi zaidi kuliko ya Dar?
Katika ‘Logic’ hiyo hoja yako ni uzushi unaoitwa ‘Post hoc ergo propter hoc’Kama ni uongo kanisa lingalitoa kauli kupinga na Serikali ingalipiga marufuku hivyo vitabu Kama vitabu vyengine vilivyonekana havifai kusomwa na public kinyume chake ni kuwa ni kweli
Basi tufanye sikuelewa mkuu, ulisema kanuni za ujamaa wa mwalimu ni zipi?Kama hukuridhika na majibu ni choice yako mwenyewe
Katika ‘Logic’ hiyo hoja yako ni uzushi unaoitwa ‘Post hoc ergo propter hoc’
Hatuwezi kuegemea kuwa kwakuwa Kabisa halikukataa basi ni kweli.
Hatuwezi sema ati kwakuwa Gavana amesema To yeye hajafundisha leo na To yeye hajathibitisha wala kupinga wa kukasirika kwahilo basi tuhitimishe kuwa To yeye ni kweli hajafundisha.
Wapi nilikuambia kanuni z ujamaa wa Nyerere , ndio wasomi wa Leo wa University ya Dar mlivyo ?Basi tufanye sikuelewa mkuu, ulisema kanuni za ujamaa wa mwalimu ni zipi?
Tafadhali nieleweshe sikukuelewa.