VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Tutambue juhudi zote na mipango tukiyojiwekea kusongesha gurudumu la maendeleo ya taifa letu. Maboresho sector kilimo na ufugaji, miundombinu barabara, umeme, huduma za afya, viwanja michezo.
Mikopo Halmashauri ichagize viwanda vidogo kuzalisha na kuongeza thamani.
Tuachane na mikopo midogo inayoongeza mtawanyo huduma na bidhaa sio tija kwa uchumi.
Tusiwapotoshe vijana mmachinga, mfano awamu ya 5 iliwapa kiburi na kufanya vijana wengi kuwa wazuluraji kuingia mjini pawe na mashariti Magumu kufanya biashara ibakie masoko gulio za wiki na jioni mtaani bidhaa muhimu.
Iwe marufuku kutembeza vyakuka, matunda nk wengi wanakuwa wadangaji.