Hakuna cha kuwa mbali hata tukiwa wenyewe tu anayepata nafasi anashibisha tumbo lake na familia yake tu,,hakuna cha kuwa mbali tena tungekuwa nyuma zaidiNaomba mnisaidie Majibu ya ukweli ya swali hili ninalojiulizaga kuhusu waafrica na africa kwa ujumla
KAMA WAKOLONI WASINGETUTAWALA JE TUNGEKUWA MBALI KIMAFANIKIO (KIUCHUMI,TEKNOLOJIA,n.k)KULIKO HAPA TULIPO???
Swali Hili limezaliwa na Hoja ya waafrica wengi kuwa sisi ni maskini kwa sababu wazungu walitutawala na wakaiba rasilimali na kutupumbaza na elimu zao za kimagharibi huku wakiua tamaduni zetu za Asili?
YUWE WAKWELI JE TUNGEKUA MBALI ZAIDI KAMA WAKOLONI WASINGEKUJA??
kwann saiv tumepewa uhuru hatujawa mbali? Mamb yagekuwa yale yale tu.Duh.... nadhani tungekuwa mbali.....
Hatuna uhuru bado , kwa sababu tunaweza kupigwa vikwazo vya kiuchumi ....Leo jamaa hata wakitaka tusitumie internet wanablock , banks ni zao yaani hata wakisema wapige marufuku magari yote inawezekana .kwann saiv tumepewa uhuru hatujawa mbali? Mamb yagekuwa yale yale tu.
umenena ukwel mtupu maana tunaigiza ving ila kutoa ni vichache.Hatuna uhuru bado , kwa sababu tunaweza kupigwa vikwazo vya kiuchumi ....Leo jamaa hata wakitaka tusitumie internet wanablock , banks ni zao yaani hata wakisema wapige marufuku magari yote inawezekana .
Sisi ni wa hovyo baada ya kuandaa mifumo yetu , tuliendea kufauta vitu vyao
Kwamba kwa utawala wa Machief na Makabaila tungetoboa kujitengenezea mifumo yetu ambayo ingetuletea mafanikio kuliko haya tuliyo nayo kwa unavyoona??Hatuna uhuru bado , kwa sababu tunaweza kupigwa vikwazo vya kiuchumi ....Leo jamaa hata wakitaka tusitumie internet wanablock , banks ni zao yaani hata wakisema wapige marufuku magari yote inawezekana .
Sisi ni wa hovyo baada ya kuandaa mifumo yetu , tuliendea kufauta vitu vyao