johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha roho ya kwa nini wewe.ushindwe na ulainike.Moderator huu Uzi naomba ufutwe .
mbona nasikia Chadema kuna candidates 11 tayari? au nimesikia vibaya?Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe.
Ikumbukwe kuwa mwaka 2015 Membe alishika namba 5 kwenye kura za maoni CCM akimwacha mbali kabisa Lowassa na wagombea wengine 37.
Ikumbukwe pia Membe ndio alikuwa wa mwisho kwenye ile 5 bora akiwa karibu na January Makamba.
Kwahiyo endapo Membe atajiunga Chadema basi atakuwe ndiye mwenye sifa za juu kuliko watia nia wote na itakuwa hamna namna zaidi ya kumpisha aweze kumsindikiza Dr Magufuli kuelekea Ikulu.
Maendeleo hayana vyama!
Wapinzani katika ujumla wao hawana mgombea yoyote wa urais mwenye sifa za kumzidi Benard Membe.